Mshindi wa redds miss Tanzania ni Happiness Matimanywa toka Dodoma

Mshindi wa redds miss Tanzania ni Happiness Matimanywa toka Dodoma

inwezeakana kwako wewe ila binafsi i see she is beutiful and stunning na hapo ndo nilopokubali kuwa kweli beuty is in the eyes of the beholder,to me i see she is an african beuty,natural beuty black and beuty yet she has something in her head,her parents must be so proud of her congratualtions HAPPINESS WATIMANYWA to me una desrve kuchukua taji.
kichwani yupo vizuri ana uelewa mkubwa ila sura ni changamoto kwakweli
 
ndio maana hata happiness umempondea weeee ukute na ye alikutolea ,nje kwa hii point yako nashawishika kuamini jambo hilo.
kwa uzuri wote huo nikikusimanga nitakuwa nina langu jambo🙂
lbd utakuwa umenikataa:teeth:
 
thanks we have the same thoughts watu wengine banah sijui wakoje wanajiona wenyewe ndo wazuri waweke basi picha zao tuwaone.
Wewe mzuri? Acha kupotosha ni mzuri. Acha wivu wa kijinga. Wewe ndio una sura ya tambala acha kukufuru mola wako
 
:clap2: :clap2: umbea ukizidi ni tatizo,hilo jibu linamfaa sana.
Ulimshikia mguu? Kama wewe unaweza kuutumia mwili wako kufika unapotaka, usidhani kila mtu anafanya hivyo aisee
 
ndio no one can change how you see but you cannot change how others see too,kama we unaona ni tambala baki hivyo hivyo na maoni yako na sio utake wote waone hivyo sie wengine tunaona mtoto wa watu kajaaliwa ila hatuwalazimishi nyie pia muone hivyo ila tunajribu kurekebishana kuwa hayupo anestahili kumkososa mwenzie kwani hayupo aliyejiumba hapa duniani,wote wazuri kwa wabaya walimbwa na Mungu,kama tungepewa kujichagulia sura na umbo basi wote duniani tungekuwa malaika,hope umenisoma
wabongp nao mbona unafanya unachokataza? Kama sura ni tambara inabak kuwa hivyo..no one can change it!!
 
DEMBA hukuangalia vizuri banah ulimwona yule namba mbili latifah mohhamed kiukweli yule mdada is so stunnig au wasemaje?
bestito mwaka huu dar sikuona mrembo tishio kwa kweli.
 
Last edited by a moderator:
uumbaji wa Mungu haukukusudia kumchekesaha mtu,em tua kidogo afu ujifikirie ikiwa wewe una kitu ambacho kimo mwilini mwako afu watu wanakitumia kama kichekesho utajisikiaje?????????
we are not serious man, ni just kuchekesha watu
 
labda kama wewe ndo utakuwa judge ila kama watakuwa wengine wanaojua vigezo vinavyotakiwa anaweza kushida sana tu,ila kama ni wewe basssii bora binti wa watu aondoe hilo wazo kabisa.
Huyu hawezi kushinda miss World kabisaa.Kwanza jina lake la pili tu gumu.
 
kalou and you jamani!!!!!!!!!!ila any way beuty is in the eyes of the beholder,we kwako mzuri ni vannessa mdee lakini si unakumbuka siku ile baadhi ya watu walivyompondea,so sio mbaya huenda kwako huyu bi dada hakuvutii ila kwangu she is mwaaaaa an love her jamani.
she is UGLY,period
 
Last edited by a moderator:
kalou and you jamani!!!!!!!!!!ila any way beuty is in the eyes of the beholder,we kwako mzuri ni vannessa mdee lakini si unakumbuka siku ile baadhi ya watu walivyompondea,so sio mbaya huenda kwako huyu bi dada hakuvutii ila kwangu she is mwaaaaa an love her jamani.

:amen:
 
pole mwayego anza sasa kufuatilia kuanzia sasa usipitwe mwaya.
siku hizi nimekua mvivu sana kufuatilia hivi vitu. zamani nilikuwa nafuatilia kuanzia katika vitongoji.
 
Nyie watu mlokazana kusema huyo binti ni mbaya . . . mbona mkiambiwa kuweka picha zenu hamtakiiiii????
 
Back
Top Bottom