Kenya 2022 Mshindi wa Urais Kenya kutangazwa saa 9:00 mchana

Kenya 2022 Mshindi wa Urais Kenya kutangazwa saa 9:00 mchana

Kenya 2022 General Election
Ikiwa zimepita siku saba (07) tangu Wakenya wapige kura katika uchaguzi Mkuu uliofanyika tarehe 09/08/2022, Muda mfupi ujao Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka (IEBC) inatarajia kumtangaza mshindi wa kiti cha Urais. Iwapo Rais Mteule atatangazwa leo na asipate zuio la kupingwa mahakamani, ataapishwa Agosti 30, 2022 siku 14 baada ya Matokeo kutangazwa.

Utaratibu huu ni tofauti na Tanzania ambako matokeo ya Urais hutangazwa mapema takribani siku mbili (02) baada ya kupiga kura.

View attachment 2324416
Saizi ni saa ngapi? 😆😆😆😆😆
 
Back
Top Bottom