Habari wana jamii natafuta patna ambae yupo sirious tufanyenae kilimo cha matikiti kwa msimu huu wa masika project ianze mwezi wa 12 /1/2019 itaisha mwezi wanne. Tutalima hekari 6 patna awe na vigezo vifuatavyo
1. Awe tayari kuishi karibu na shamba kwa siku 75 ambazo kufikia hapo tutakuwa tumemaliza kazi
2. Awe tayari kuchangiana kiasi cha shilingi 600,000 ambazo tutachangiana ilikufikia m 1.2 ambayo ita cost kilakitu nishapiga hesabu
3. Awe mwenyenia mchapakaxi pia
NB: Maeneo ni Mbeya Usanga ila alie tayari kutoka mkoa wowote hatakama anafamilia mambo ya makazi tutafanya mpango kikubwa awe nania ya kazi tupige kazi miezi siku 75 hizo .
Mawasiliano
Kwa aliye tayari
cl.sms.wasap. 0752164502
tigo 0652300557
asante