Mshiriki wa Tanzania BBA Uzalendo umemshinda!

Mshiriki wa Tanzania BBA Uzalendo umemshinda!

Feza anaweza kuchukua mwaka huu kwani kila ambae anamtaja akiulizwa kwanini umemtaja wanajibu ana nguvu aka popular kwaio atoke.
 
bye bye hakeem and fatima BON VOYAGE. NANDO AND FEZA WE STILL PRAY FOR YOU.
 
Unaona sasa hasara hiyo ya kuangalia shows zisizo na tija!
Mi nawashauri msipoteze mida yenu kuangalia BBA I doubt kama kuna
mafunzo yoyote pale
Bora uangalie entertaiments zingine kama football, movies, tamthilia nk
atleast unaweza ukapata mafundisho yoyote ila siyo hiyo BBA ITS USELESS KABISA.

completely useless,.....
 
wahoo NANDO IS THE MAN OF THE MATCH WHEN DIAMONDS BEATEN RUBY
 
hivi katika hiyo show kitu gani huwa mnakifurahia maana nimejaribu kuangalia but sijaona cha maana wala cha kufurahisha zaidi ya ujinga
 
hivi katika hiyo show kitu gani huwa mnakifurahia maana nimejaribu kuangalia but sijaona cha maana wala cha kufurahisha zaidi ya ujinga

kama wewe hakuna kunachokufurahisha,wengine tunaenjoy saana!!!!!
 
bongo soka atuwezi bora big brother vijana wanatuwakilisha vizuri sana jumapili wametoka NATASHA AND SELLY AMBAO WAKO EVICTION THIS WEEK NI POKELO,DILLISHI,BAZE,ANGELO AND ANNABEL
 
bongo soka atuwezi bora big brother vijana wanatuwakilisha vizuri sana jumapili wametoka NATASHA AND SELLY AMBAO WAKO EVICTION THIS WEEK NI POKELO,DILLISHI,BAZE,ANGELO AND ANNABEL

bora tujiangalizie big brother
it is the least we can do..........
soka kila leo tunafungwa

they play safe,this week TZ is safe
 
wametoka bassey from siera leone and pokelo from zimbabwe this week all the best feza and nando
 
Back
Top Bottom