Mshiriki wa Tanzania BBA Uzalendo umemshinda!

wanachoniboa kila siku washiriki wanaokwenda huko wanawachukua kutoka masaki, obay, mikocheni, mbezi digital (beach),, afu lazima uwe point five ( chotara),, ole wao siku wabugi waje huku mitaa ya MWEMBE-KIUNO itakuwa ni full show from day one mpaka siku ya eviction... hao waliowapeleka naona kama wanaigiza vile... watupe chance sie wazee wa live bila chenga....
 
mkuu umenichekesha sana ila kipindi kile rich alituwakilisha vizuri sana sijui mshkaji amepotelea wapi
 
Pls msiseme anawakilisha nchi.. . Ameenda yeye kama yeye.. .

Watu mwakaa mwashabikia porno.. shame on u all
 
ujue mungu angeumba watu wote jinsia moja sijui ingekuaje?na je kama fikra zetu zingekua moja ingekuaje? Hiyo All sijui ume include na wazazi wako au? alah.
 
Hiyo statement ya pili ilikuwa inajibu comment rudi nyuma utaiona wewe umeziunganisha pamoja. Kama umeshaziona Bb uk ukilinganisha na ya kwetu nafikiri utanielewa

nimekuelewa sasa mkuu.....
 
wanachoniboa kila siku washiriki wanaokwenda huko wanawachukua kutoka masaki, obay, mikocheni, mbezi digital (beach),, afu lazima uwe point five ( chotara),, ole wao siku wabugi waje huku mitaa ya MWEMBE-KIUNO itakuwa ni full show from day one mpaka siku ya eviction... hao waliowapeleka naona kama wanaigiza vile... watupe chance sie wazee wa live bila chenga....

hahaaa kumbe mtu mwenyewe si M-tz...,

hahaaaa nyie wa kwenye red hapo hamfanyagi makosa
 
Sio mtanzania yule, hatumjui.mtanzania gani hata kutaja mikoa 10 ya nchi yake hajui. Hajui hamjui hata makamu wa raisi. Muache awat.mbe coz i dont care coz sio mtanzania

Haahahaa pole kwa kuchezea ban,msalimie demu wako
 
Mshiriki wa TZ Nando,inaonekana uzalendo umemshinda baada ta camera za BBA kumfuma akigegedana na mshiriki mwenzie Selly kutoka Ghana usiku... Siku ya 27 jamaa kaamua kujimegea kisela

kuwatch it zama hapa,
#GUMZO LA JIJI | Pata Habari Moto moto
siku 27, unakula vyakula safi ni hatari, lazima upunguze protein -- hapo ni lazima robo kikombe.
 
ile kitu kama umezoea kufanya,siku ukiimisi unahisi kama mgonjwa vile
 
Aiseeeeeeeee nashurukuru hajatenda kosa la jinai kwa alilofanya''

uzuri ni kwamba matendo yao hayawakilishi big brother wala nchi wanazotoka bali ni matendo binafsi.

Pengine haya ni matokeo ya kula na kushiba
 
Back
Top Bottom