Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
- Thread starter
-
- #101
kumbeeeeeeeeeeee.
bye bye hakeem and fatima BON VOYAGE. NANDO AND FEZA WE STILL PRAY FOR YOU.
Upuuzi mtupu, shenzi type, project za kizinzi-zinzi tu na watu wanazisifia!!!
Jamii inapotelea wapi hiii jamani????
Unaona sasa hasara hiyo ya kuangalia shows zisizo na tija!
Mi nawashauri msipoteze mida yenu kuangalia BBA I doubt kama kuna
mafunzo yoyote pale
Bora uangalie entertaiments zingine kama football, movies, tamthilia nk
atleast unaweza ukapata mafundisho yoyote ila siyo hiyo BBA ITS USELESS KABISA.
completely useless,.....
wahoo NANDO IS THE MAN OF THE MATCH WHEN DIAMONDS BEATEN RUBY
nani yupo eviction this week!!!!!
hivi katika hiyo show kitu gani huwa mnakifurahia maana nimejaribu kuangalia but sijaona cha maana wala cha kufurahisha zaidi ya ujinga
vijana wanatafuta helahivi katika hiyo show kitu gani huwa mnakifurahia maana nimejaribu kuangalia but sijaona cha maana wala cha kufurahisha zaidi ya ujinga
bongo soka atuwezi bora big brother vijana wanatuwakilisha vizuri sana jumapili wametoka NATASHA AND SELLY AMBAO WAKO EVICTION THIS WEEK NI POKELO,DILLISHI,BAZE,ANGELO AND ANNABEL
hahaa mhindi nae ni mzee wa chumvini.....,
maana kuna mda alishuka pale kati