Mshituko: Rais Magufuli, agoma kumsalimia kwa mkono Mkuu wa Mkoa wa Dar ndugu Paul Makonda

Bashite anatakiwa kufahamu ni wapi awe anasimama lakini sio kujichomeka popote pale! Yaani unajipachika walipo majaji, majaji wastaafu, spika, maofisa wa jeshi, halafu unatarajia upewe mkono? Very stupid... JPM did the right thing kumruka!
 
Nimeona video kapost Masanja, Makonda alimfata Magu hadi nje alipokuwa anataka ondoa akakimbilia akampa mkono ila hawakuongea kitu
 
Kweli hujui lugha ya mwili ,makonda alijiandaa kutoa na kupokea mkono,mzee baba akapotezea
 
Nimeona video kapost Masanja, Makonda alimfata Magu hadi nje alipokuwa anataka ondoa akakimbilia akampa mkono ila hawakuongea kitu
Mkuu, unaweza kuweka link ya hiyo video au masanja?
 
Inawezekana pia walionana kabla.
 
Huyu anasalimia kisumusumu tu.

uchaguzi si mwaka kesho tu, hapo jirani? watamvurugia Rais asishinde
Jiwe ajifunze kuwa mpole tu, hasa kipindi hiki, hata ofisi ya kusikiliza kina Mama/Wadada wanaopigwa na Kupuuzwa na waume zao pale Lumumba. huu mpango umefia wapi? na hawa ndo wapiga kura namabari one nchi nzima!
 
makonda kanesa aseee

unajua ile kuneseshwa,unaitwa unaskia jina lako kabisa

ile unaamka Teacher anasema "sio wewe" huwa inaboa

kama ulikua unajua sio mimi si ungemalizia jina lote shenziiiiiii

huyu nae anajua nipo safu ya mbele kabiisa halafu anapitisha mkono wake mbele yangu

kaninesesha mimi kumbe hana time na mimi,Fuleshi lakini ipo day.
 
Ngonjera za kipumbavu hizi hazina maana!ccm wanatuchezea kamchezo!!!

Kama ni kweli basi itakuwa ni yule mganga aliemwaminisha kuwa jiwe hatopata shida baada ya lile zindiko!!!

Jiwe akashangaa upepo wa kisulisuli ukamchukua! sasa anaona Bashite alizingua tu!!!
 
Dra Drama or you want to flash out coachroaches
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…