appoh
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 5,939
- 3,259
Warioba jeNimeona na mimi nimeshangaaa sana wamepewa wotee kwenye hyo safu ya mbele alipofika kwa makonda akapita akaenda wa mbele yake. Angalieni marudio tbc si ndo kazi yao kurudia
Warioba jeNimeona na mimi nimeshangaaa sana wamepewa wotee kwenye hyo safu ya mbele alipofika kwa makonda akapita akaenda wa mbele yake. Angalieni marudio tbc si ndo kazi yao kurudia
Hazijapotea ila tumesahau username na passwordKuna ID zimepotea
Naona ID zimeyeyukaHazijapotea ila tumesahau username na password
Au wahusika wa hizo ID ndio wameripotiwa kutekwa?Naona ID zimeyeyuka
Lini hio wametekwa?Au wahusika wa hizo ID ndio wameripotiwa kutekwa?
AiseeeeeeeeeeeComrade Magu alistuka kwa huyu bwana na ilikuwa too late.
Ha ha ha haaa jamaa kajitanua kweli kweli ili magu amuone lakini wapi.. kapitwa kama mbwa tuAlijiweka Sawa kupokea salamu lakini akapitwa, angalia vizuri