Mshituko: Rais Magufuli, agoma kumsalimia kwa mkono Mkuu wa Mkoa wa Dar ndugu Paul Makonda

duh kamkata vibaya ila ni protocal makonda hakutakiwa kuwepo pale kajichomeka alafu kajisimamisha katikati kispesho flani hivi kisha akakatwa,

labda magu kamwogopa Warioba maana yupo pale na shati lake lilelile alilovaa siku kakatwa mitama na bashite
 
Mh Raisi kaona asalimie wageni kwanza , Bashite yupo nae masaa 24
 
Nimeona na mimi nimeshangaaa sana wamepewa wotee kwenye hyo safu ya mbele alipofika kwa makonda akapita akaenda wa mbele yake. Angalieni marudio tbc si ndo kazi yao kurudia

Sasa yy si ndio kampokea kule nje?
 
Ila mbona makonda nae hajaonyesha kuinua mkono? Ni kama alikua na taarifa au alikua anajua, sidhan kama Kuna shida, Makonda angenyanyua mkono af akapitwa hapo ningeona Kuna shida
Alijiweka Sawa kupokea salamu lakini akapitwa, angalia vizuri
 
Heshima wakuu,

Katika hali ya kushangaza na kushitua, Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, J Magufuli, amegoma katakata kutabasamu wala kumpa mkono rafiki na mtumishi wake mpendwa ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Mheshimiwa Paul Makonda.

Je, rais Magufuli ameshashitukia yale mambo alokuwa akiambiwa kuhusu Makonda?

Je, Uchunguzi wa kimya kimya juu ya watu waliimpiga risasi Tundu Lissu umeanza bila sisi kujua?

Je, Makonda ametanganya katika kujaza fomu za maadili ya Umma kuhusu utajiri?

Je, Malalamiko ya Meya wa Ubungo Boniface yamepata Kiki?

Je, Wakazi wa Dar kutoniandikisha kupiga kura Serikali za mitaa ndo sababu?

Je, Dar kutokufanya vizuri kwenye makusanyo ya Mapayo?

Au miundo mbinu mibovu ambayo Makonda kishindwa kusimamia ndo yamemuudhi rais wetu?

Yajayo yanafurahisha, tusubiri tamko.

Zaidi, soma;

View attachment 1261346

Thread imekaa kimbeya mbeya na kiuchonganishi!
Mh. Makonda angenyosha mkono ili kumsalimu mh. Rais halafu akampita kama ilivyotokea, ulichoandika kingekuwa na mashiko kwa kiasi fulani. Inavyoonekana huenda wameonana kabla na kusabahiana.
 
Kakasirika hakumualika wasafi festival maana makonda ndio mlezi wa wasafi
 
Mavumba ya sangoma wa Makonda yameanza kuchuja, aaaah nilisahau limbwata limechuja.
 
Boss pantheraleo Watu hawajafanya yao kweli ??? !!! Edit ... !!! ???

Heshima wakuu,

Katika hali ya kushangaza na kushitua, Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, J Magufuli, amegoma katakata kutabasamu wala kumpa mkono rafiki na mtumishi wake mpendwa ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Mheshimiwa Paul Makonda.

Je, rais Magufuli ameshashitukia yale mambo alokuwa akiambiwa kuhusu Makonda?

Je, Uchunguzi wa kimya kimya juu ya watu waliimpiga risasi Tundu Lissu umeanza bila sisi kujua?

Je, Makonda ametanganya katika kujaza fomu za maadili ya Umma kuhusu utajiri?

Je, Malalamiko ya Meya wa Ubungo Boniface yamepata Kiki?

Je, Wakazi wa Dar kutoniandikisha kupiga kura Serikali za mitaa ndo sababu?

Je, Dar kutokufanya vizuri kwenye makusanyo ya Mapayo?

Au miundo mbinu mibovu ambayo Makonda kishindwa kusimamia ndo yamemuudhi rais wetu?

Yajayo yanafurahisha, tusubiri tamko.

Zaidi, soma;

View attachment 1261346
 
Heshima wakuu,

Katika hali ya kushangaza na kushitua, Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, J Magufuli, amegoma katakata kutabasamu wala kumpa mkono rafiki na mtumishi wake mpendwa ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Mheshimiwa Paul Makonda.

Je, rais Magufuli ameshashitukia yale mambo alokuwa akiambiwa kuhusu Makonda?

Je, Uchunguzi wa kimya kimya juu ya watu waliimpiga risasi Tundu Lissu umeanza bila sisi kujua?

Je, Makonda ametanganya katika kujaza fomu za maadili ya Umma kuhusu utajiri?

Je, Malalamiko ya Meya wa Ubungo Boniface yamepata Kiki?

Je, Wakazi wa Dar kutoniandikisha kupiga kura Serikali za mitaa ndo sababu?

Je, Dar kutokufanya vizuri kwenye makusanyo ya Mapayo?

Au miundo mbinu mibovu ambayo Makonda kishindwa kusimamia ndo yamemuudhi rais wetu?

Yajayo yanafurahisha, tusubiri tamko.

Zaidi, soma;

View attachment 1261346

f
Aliyeomba video hii hapa.

Watu tumeshapika pilau. Tunasubiri hiyo siku, ambayo tunajua tu itafika tutakapoona barua ya Msigwa, tule pilau letu. Siku inafika
View attachment 1261286

facial axpresion ya bwana bashite tells everything,wacha vyuma viumane
 
Hiyo ipo nimeona huko twita. Inaonesha amemruka maalim Seif halafu kampa warioba na viongozi wengine na alipofika kwa makonda amempa mwengine na hakumpa makonda.
Hapana sio kweli kama amemruka mzee maalim Seif, mbona kamsalimia vizuri tu angallia tena vizuri ukipata muda, kuhusu mh.Mkuu wa Mkoa labda alikuwa mbali kiddogo au kapitiwa nae ni binadamu ukumbuke.
 
Back
Top Bottom