Mshituko: Rais Magufuli, agoma kumsalimia kwa mkono Mkuu wa Mkoa wa Dar ndugu Paul Makonda

Kuwasaidia tu itifaki
Unaweza kusimama eneo ambalo Rais wa Nchi anapita.
Tafadhali sana usipaparike na kuanza kumnyooshea Mkono Mhe Rais kwa lengo la kumsalimia
Nia yako inaweza kuangukia kuvunjwa Mkono na walinzi

Rejea vidio na Azam Dewj

Katika tukio la leo la Makonda ni wazo kabisa Makonda anajua itifaki hiyo ndio maana hakunyoosha mkono wake Kumpa Mhe Rais ijapo alimsogelea karibu sana
Ingekuwa mtu Mwingine tayari angerusha mkono kumsalimu Rais jambo ambalo si sawa

Kwakuwa Mkuu wa Mkoa ndio wakwanza kumpokea Rais wakati anashuka kwenye gari na Kusalimiana nae .Rais hawezi kushuka kwenye gari bila RC KUTOA taarifa kuwa hali ni shwari...

Kadiri tunavyo onyesha chuki kwa Makonda ndivyo Rais anavyompenda zaidi.

Lazima kujua kuwa kama Mhe Rais na Makonda wakiamua kufanya siasa, kila siku habari zitakuwa front page
 
Kunakitu hakija enda sawaa...!! Kiutawala lazima Luna kitu kinatoke soon
 
Out of topic. Hivi kitabu kinauzwa sh ngapi? Na je, naweza kupata soft copy yake? Ili kama siwezi kumudu bei ya hard copy nifaidike na soft copy.

60K

ila executive wote wamepewa kwa cheee
 
Kuwasaidia tu itifaki
Unaweza kusimama eneo ambalo Rais wa Nchi anapita.
Tafadhali sana usipaparike na kuanza kumnyooshea Mkono Mhe Rais kwa lengo la kumsalimia
Nia yako inaweza kuangukia kuvunjwa Mkono na walinzi

Rejea vidio na Azam Dewj

Katika tukio la leo la Makonda ni wazo kabisa Makonda anajua itifaki hiyo ndio maana hakunyoosha mkono wake Kumpa Mhe Rais ijapo alimsogelea karibu sana
Ingekuwa mtu Mwingine tayari angerusha mkono kumsalimu Rais jambo ambalo si sawa

Kwakuwa Mkuu wa Mkoa ndio wakwanza kumpokea Rais wakati anashuka kwenye gari na Kusalimiana nae .Rais hawezi kushuka kwenye gari bila RC KUTOA taarifa kuwa hali ni shwari...

Kadiri tunavyo onyesha chuki kwa Makonda ndivyo Rais anavyompenda zaidi.

Lazima kujua kuwa kama Mhe Rais na Makonda wakiamua kufanya siasa, kila siku habari zitakuwa front page
Bashite bana
 
Hata mimi ningefanya mupe mupe kisha muruke,huwezi salimiana na mtu mzima achilia mbali raisi ukiwa umevalia miwani ya jua hivyo.Bashite hana adabu,huo ucheki bob wake awafanyie bongo movie huko..
 
Ni kanuni kongwe iliyotumika enzi za wafalme ambayo ilikuja kurithiwa kwenye itifaki za kidiplomasia.

Pamoja na kwamba huku kwetu inatumika kwa viongozi wakuu, kwa nchi nyingi za ulaya na mashariki ya mbali, mwanamke ndiye anayepaswa kukupa mkono kwanza katika kusalimiana, hata kama mnajuana!.

Kutoa mkono kwanza kwa Rais, Malikia au mwanamke yeyote inatafsiri ya shambulio na ndio maana wapambe huchukua hatua za udhibiti mara wanapokutana na viherehere.
 
Hiyo ipo nimeona huko twita. Inaonesha amemruka maalim Seif halafu kampa warioba na viongozi wengine na alipofika kwa makonda amempa mwengine na hakumpa makonda.
anzia dk ya 45
 
Kuwasaidia tu itifaki
Unaweza kusimama eneo ambalo Rais wa Nchi anapita.
Tafadhali sana usipaparike na kuanza kumnyooshea Mkono Mhe Rais kwa lengo la kumsalimia
Nia yako inaweza kuangukia kuvunjwa Mkono na walinzi

Rejea vidio na Azam Dewj

Katika tukio la leo la Makonda ni wazo kabisa Makonda anajua itifaki hiyo ndio maana hakunyoosha mkono wake Kumpa Mhe Rais ijapo alimsogelea karibu sana
Ingekuwa mtu Mwingine tayari angerusha mkono kumsalimu Rais jambo ambalo si sawa

Kwakuwa Mkuu wa Mkoa ndio wakwanza kumpokea Rais wakati anashuka kwenye gari na Kusalimiana nae .Rais hawezi kushuka kwenye gari bila RC KUTOA taarifa kuwa hali ni shwari...

Kadiri tunavyo onyesha chuki kwa Makonda ndivyo Rais anavyompenda zaidi.

Lazima kujua kuwa kama Mhe Rais na Makonda wakiamua kufanya siasa, kila siku habari zitakuwa front page
acha kupindisha maneno, leo Rais wetu Mpendwa kamsusa jamaa.
 
Natoka Sinza naelekea Kijitonyama kupitia Bunju na Buguruni,nitafika saa ngapi?
 
Back
Top Bottom