Levels baby
JF-Expert Member
- Sep 26, 2019
- 832
- 770
sawa Le mutuz tumekusikia
Dah, sitini hela ya mboga kwa miezi miwili.60K
ila executive wote wamepewa kwa cheee
Nime-play clip zaidi ya mara 7. Bado sielewi elewi!Heshima wakuu,
Katika hali ya kushangaza na kushitua, Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, J Magufuli, amegoma katakata kutabasamu wala kumpa mkono rafiki na mtumishi wake mpendwa ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Mheshimiwa Paul Makonda.
Je, rais Magufuli ameshashitukia yale mambo alokuwa akiambiwa kuhusu Makonda?
Je, Uchunguzi wa kimya kimya juu ya watu waliimpiga risasi Tundu Lissu umeanza bila sisi kujua?
Je, Makonda amedanganya katika kujaza fomu za maadili ya Umma kuhusu utajiri?
Je, Malalamiko ya Meya wa Ubungo Boniface yamepata Kiki?
Je, Wakazi wa Dar kutojiandikisha kupiga kura Serikali za mitaa ndo sababu?
Je, Dar kutokufanya vizuri kwenye makusanyo ya Mapato?
Au miundo mbinu mibovu ambayo Makonda kashindwa kusimamia ndo yamemuudhi rais wetu?
Yajayo yanafurahisha, tusubiri tamko.
Zaidi, soma;
![]()
Seif Shariff Hamadi agoma kumpa mkono wa salamu Rais Dkt. Shein!
Katika kipindi cha magazetini Leo, imeripotiwa kuwa Maalimu Seif alikwepa kusalimiana Dkt Shein walipokutana kwenye maziko ya Aboud Jumbe. Hii inapeleka ujumbe gani kwa wana-Zanzibar?! ============= Maalim Seif Kukataa Mkono wa Dr.Shein kwenye Mazishi ya Al-Hajj Aboud Jumbe Mwinyi. Ujumbe...www.jamiiforums.com
View attachment 1261346
Labour whaaaat?Matusi hayo et last trimester kwaiyo kashaingia labour word au bado?
lkn salam ya mdomoni aliitikia
Bashite alimwamkia "shikamoo mh. baba mjomba wangu dakitari John Pombe
Meko akajibu kwa sauti ya chiniiiiiii"
"maliaba"
Mbona kasalimiana na katibu mkuu, ambae walikua wote asubuh ikulu.Wabongo bwana,what if walisalimiana kabla hajaingia ukumbini ?
DuhKama ni hivyo itakuwa ni issue za ushirikina wao au ni kiwewe cha kuonana na seif rais wa wananchi wa Zanzibar au labda ni side effects za dawa za kuzuia heart attack
Kuwasaidia tu itifaki
Unaweza kusimama eneo ambalo Rais wa Nchi anapita.
Tafadhali sana usipaparike na kuanza kumnyooshea Mkono Mhe Rais kwa lengo la kumsalimia
Nia yako inaweza kuangukia kuvunjwa Mkono na walinzi
Rejea vidio na Azam Dewj
Katika tukio la leo la Makonda ni wazo kabisa Makonda anajua itifaki hiyo ndio maana hakunyoosha mkono wake Kumpa Mhe Rais ijapo alimsogelea karibu sana
Ingekuwa mtu Mwingine tayari angerusha mkono kumsalimu Rais jambo ambalo si sawa
Kwakuwa Mkuu wa Mkoa ndio wakwanza kumpokea Rais wakati anashuka kwenye gari na Kusalimiana nae .Rais hawezi kushuka kwenye gari bila RC KUTOA taarifa kuwa hali ni shwari...
Kadiri tunavyo onyesha chuki kwa Makonda ndivyo Rais anavyompenda zaidi.
Lazima kujua kuwa kama Mhe Rais na Makonda wakiamua kufanya siasa, kila siku habari zitakuwa front page
Hii ndio habari,wanatutoa kwenye madaisije kuwa ni mchoro umechorwa ili kuwatoa kwenye kuzungumzia uchaguzi wa serikali za mitaa
Nyie watoto wa humu hamna adabu kabisa😆😆😆Basi huko ccm kutakuwa na taabu kuliko JEHANAMU maana leo hii tumeambiwa Kikwete na Mkapa hawajasalimiana. Any way maendeleo hayana vyama. Nikuteue mimi, nikulipe mshahara, nakupa gari na mafuta,nyumba ya kuishi halafu unamtangaza mpinzani ameshinda.
Utafikiri huo mshara anao lipa, gari nyumba na mafuta pesa hizo anazitoa kwenye akaunti ya Baba yake mzazi na kuwapa wafanyakazi wa serikali. Kweli sasa leo kasema ukweli kumbe alinyweshwa Sumu ndo mana uwezo wake wa kutafakuri mambo ni very mdogoo. Sumu imetindua ubongo wa Meko.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]lkn salam ya mdomoni aliitikia
Bashite alimwamkia "shikamoo mh. baba mjomba wangu dakitari John Pombe
Meko akajibu kwa sauti ya chiniiiiiii"
"maliaba"
Mukuze ma ma k@Matusi hayo et last trimester kwaiyo kashaingia labour word au bado?
Wewe Makonda acha matusi, unazidi kujishushia heshima.Mukuze ma ma k@
Hakuna hata moja lililo sahihi kati ya hayo uliyojiuliza. Kama unajua psychology Mh Rais alishasema kwenye hotuba yake leo yakwamba ukimpenda mtu usionyeshe hadharani kwakua atachukiwa na wengine hata kuangamizwa.Hicho ndio akili yangu imekibaini.Heshima wakuu,