Video ipi Mkuu au ile ya Menina?
Kabla ilikuwa haijawekwa.
Video ipi Mkuu au ile ya Menina?
Waziri mkuu mstaaaaf hiyo shati mzee haiachiduh kamkata vibaya ila ni protocal makonda hakutakiwa kuwepo pale kajichomeka alafu kajisimamisha katikati kispesho flani hivi kisha akakatwa,
labda magu kamwogopa Warioba maana yupo pale na shati lake lilelile alilovaa siku kakatwa mitama na bashite
AmemsalimiaHiyo ipo nimeona huko twita. Inaonesha amemruka maalim Seif halafu kampa warioba na viongozi wengine na alipofika kwa makonda amempa mwengine na hakumpa makonda.
Uwa nafurahi kuona Wazee wetu pale wanapokutana kuna vitu vya kuendelea kujifunza na kutojutia kuwa Mtanzania.
Mkusanyiko wa namna hii mbali na kudumisha Umoja lakini ni mojawapo ya njia sahihi ya kujisahihisha na kuishi katika maisha ya upendo,amani na kutafakari mustakabali wa Taifa letu siku zijazo.
Unasemea hii
View attachment 1261339
Heshima wakuu,
Katika hali ya kushangaza na kushitua, Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, J Magufuli, amegoma katakata kutabasamu wala kumpa mkono rafiki na mtumishi wake mpendwa ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Mheshimiwa Paul Makonda.
Je, rais Magufuli ameshashitukia yale mambo alokuwa akiambiwa kuhusu Makonda?
Je, Uchunguzi wa kimya kimya juu ya watu waliimpiga risasi Tundu Lissu umeanza bila sisi kujua?
Je, Makonda ametanganya katika kujaza fomu za maadili ya Umma kuhusu utajiri?
Je, Malalamiko ya Meya wa Ubungo Boniface yamepata Kiki?
Je, Wakazi wa Dar kutoniandikisha kupiga kura Serikali za mitaa ndo sababu?
Je, Dar kutokufanya vizuri kwenye makusanyo ya Mapayo?
Au miundo mbinu mibovu ambayo Makonda kishindwa kusimamia ndo yamemuudhi rais wetu?
Yajayo yanafurahisha, tusubiri tamko.
Zaidi, soma;
![]()
Seif Shariff Hamadi agoma kumpa mkono wa salamu Rais Dkt. Shein!
Katika kipindi cha magazetini Leo, imeripotiwa kuwa Maalimu Seif alikwepa kusalimiana Dkt Shein walipokutana kwenye maziko ya Aboud Jumbe. Hii inapeleka ujumbe gani kwa wana-Zanzibar?! ============= Maalim Seif Kukataa Mkono wa Dr.Shein kwenye Mazishi ya Al-Hajj Aboud Jumbe Mwinyi. Ujumbe...www.jamiiforums.com
View attachment 1261346
mbona kapo mkuu!?Sijaelewa hii mada, labda kakiwepo kavideo
mbona kapo mkuu!?
Kwani Kigogo kasemaje?Mkuu, ebu ngoja kwanza....
Iyo mbona kawaida sana ila dizaini nimeona kama makonda kajisikia vibaya hivi. Ila ni hali ya kawaida kuna ma senior wengi pale rais alikua na shauku ya kusalimiana nao akaona huyu makonda bwana mdogo alafu nimeongea nae kwenye simu asubui hapa tena nimsalimie ya kazi gani just like that sio kwa nia mbaya
Unajua weww ni bichwa maji? Pambaf kabsa yan hata maana ya aisle inaonekana hujui. StyupidTechnically, makonda yuko siti ya nyuma zaidi na sio on aisle...
Ndio nani huyo Kigogo kwani...!!??Kwani Kigogo kasemaje?