Mshituko: Rais Magufuli, agoma kumsalimia kwa mkono Mkuu wa Mkoa wa Dar ndugu Paul Makonda

Mshituko: Rais Magufuli, agoma kumsalimia kwa mkono Mkuu wa Mkoa wa Dar ndugu Paul Makonda

Unasemea hii
 
Duuh jamaa sijui umejifikriaje kubuni thread Kama hii!Mimi ni mmoja wao ambao hatujakwelewa weka nyama kidogo hata video inatosha
 
lkn salam ya mdomoni aliitikia
Bashite alimwamkia "shikamoo mh. baba mjomba wangu dakitari John Pombe
Meko akajibu kwa sauti ya chiniiiiiii"
"maliaba"
[emoji23][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
 
Iyo mbona kawaida sana ila dizaini nimeona kama makonda kajisikia vibaya hivi. Ila ni hali ya kawaida kuna ma senior wengi pale rais alikua na shauku ya kusalimiana nao akaona huyu makonda bwana mdogo alafu nimeongea nae kwenye simu asubui hapa tena nimsalimie ya kazi gani just like that sio kwa nia mbaya
Nimeipenda hiyo. Niongezee kidogo labda pia wameonana mda mfupi uliopita kabla ya tukio
 
Huyo Ndungai mbona anajinenepeana ki maradhi maradhi namna hiyo?
 
Kuna yule mzee wa kudiscus protocols za viongozi nimefukua nyunzi zake sizioni atatuelekeza akija yumkini
 
Hawa wakubwa wakiopata nafasi ya kuongea hawajasema lolote kuhusu uchaguzi wa Serikali za mitaa? Yaani kwao sio issue! Ngoja tutulie na sisi.
Mkuu leo ni na wasaa uke ni siku ya ben mkapa tulikua tunazindua kitabu na ni siku yake ya kuzaliwa happy birthday mengine tupa kule
 
Back
Top Bottom