Statesmann
JF-Expert Member
- Jul 16, 2019
- 2,344
- 3,472
Me naomba tu mnijibu Kama Mh. Benard Camilius Membe
Wabongo bwana,what if walisalimiana kabla hajaingia ukumbini ?
Angalia vizuri video...Daud Bashite alijiandaa kutoa mkono...cheki alivyotikisika kuona mzee kamruka...Ila mbona makonda nae hajaonyesha kuinua mkono? Ni kama alikua na taarifa au alikua anajua, sidhan kama Kuna shida, Makonda angenyanyua mkono af akapitwa hapo ningeona Kuna shida
Ni baada ya kuomba mkuu,Mbona video kaweka?
Ni kweli mi nimeona Video live.Hata Mimi nimeona kama amemruka kiaina ila ni ngumu kudhibitisha hoja yako
Nimeona live maalim Seif hakumruka alimpa mkono na walisalimiana kidogo....viongozi walikuwa kwenye msitari wa mbele na nyuma...so wengine alikuwa akiwaruka kutokana na hali ilvyokuwa...alimruka makonda kwa sababu alikuwa mstari wa nyuma pia alimruka mkuu wa majesha pamoja na kwamba alikuwa mstari wa mbele.....MI SIONI KAMA KUNA MANTIKI YIYOTE HAPO KUWAPA MIKONO VIONGOZI HAIKUWA KWENYE ITIFAKI.Hiyo ipo nimeona huko twita. Inaonesha amemruka maalim Seif halafu kampa warioba na viongozi wengine na alipofika kwa makonda amempa mwengine na hakumpa makonda.
Hao wanatengeneza kiki kuzima uchaguzi wa serikali za mitaa
Ni very obvious kuwa Makonda alikuwa anajiaandaa kutoa mkono ila akamsoma Mkulu. The bond is gone .... sidhani kama jamaa atapata usingizi mzuri leo. Kila dalili zinaonyesha kuwa it's just a matter of time .....!!Hakumruka Maalim Seif labda hiyo ulioona ni ile ya kutengenezwa ili kuficha ukweli; ila ni kweli alimruka RC Makonda, lakini sidhani kama ni kwa kukusudia. Nadhani ni bahati mbaya tu.Kitendo hicho sasa kisiwe chanzo cha umbea humu JF tena.
Nimeona live maalim Seif hakumruka alimpa mkono na walisalimiana kidogo....viongozi walikuwa kwenye msitari wa mbele na nyuma...so wengine alikuwa akiwaruka kutokana na hali ilvyokuwa...alimruka makonda kwa sababu alikuwa mstari wa nyuma pia alimruka mkuu wa majesha pamoja na kwamba alikuwa mstari wa mbele.....MI SIONI KAMA KUNA MANTIKI YIYOTE HAPO KUWAPA MIKONO VIONGOZI HAIKUWA KWENYE ITIFAKI.
Kwan Baba Swalehe yupo wap?
Njoo utututoe tongotongo machon kwanza.....!!!!!!