Chief Kabikula
JF-Expert Member
- Jan 1, 2019
- 7,564
- 9,043
Watajijua wenyewe ni lichama lao lilioiletea balaa hii nchi.
Ngoja tu tufunike kombe mwanaharamu apiteKuwasaidia tu itifaki
Unaweza kusimama eneo ambalo Rais wa Nchi anapita.
Tafadhali sana usipaparike na kuanza kumnyooshea Mkono Mhe Rais kwa lengo la kumsalimia
Nia yako inaweza kuangukia kuvunjwa Mkono na walinzi
Rejea vidio na Azam Dewj
Katika tukio la leo la Makonda ni wazo kabisa Makonda anajua itifaki hiyo ndio maana hakunyoosha mkono wake Kumpa Mhe Rais ijapo alimsogelea karibu sana
Ingekuwa mtu Mwingine tayari angerusha mkono kumsalimu Rais jambo ambalo si sawa
Kwakuwa Mkuu wa Mkoa ndio wakwanza kumpokea Rais wakati anashuka kwenye gari na Kusalimiana nae .Rais hawezi kushuka kwenye gari bila RC KUTOA taarifa kuwa hali ni shwari...
Kadiri tunavyo onyesha chuki kwa Makonda ndivyo Rais anavyompenda zaidi.
Lazima kujua kuwa kama Mhe Rais na Makonda wakiamua kufanya siasa, kila siku habari zitakuwa front page
Sina nia ya kutukana lakini ukweli tatizo la wewe na wengi ni ujinga tu wa kawaida, kwa maana ya kutoelewa.huyu ndio John P. Magufuli
kamchinjia baharini mwanae,kama hajawahi kumuona
kwa nafasi yake ya RC asingeweza kurukwa...hata yeye binafsi hakuamini kilichomtokea
Yaani Ni kazi,alifeli darasa la nne,alifeli darasa la saba,alifeli form two na akafeli form four. Atafuta cheti akaenda kusomea uvuvi nyegezi na bagamoyo kabla ya kwenda kujifuga na kung'ang'ania kwa Marehemu Samwel sita.Bashite bana
Hahaha asee tena vitatoka vipande vidogo vidogoNia yako inaweza kuangukia kuvunjwa Mkono na walinzi
Tuambie means of transport unayotumiaNatoka Sinza naelekea Kijitonyama kupitia Bunju na Buguruni,nitafika saa ngapi?
Tuambie means of transport unayotumia
Haaaahaaa...mkuu wa mkoa ndio anatoa taarifa hali ni shwari au sio shwari kwa Rais?Kuwasaidia tu itifaki
Unaweza kusimama eneo ambalo Rais wa Nchi anapita.
Tafadhali sana usipaparike na kuanza kumnyooshea Mkono Mhe Rais kwa lengo la kumsalimia
Nia yako inaweza kuangukia kuvunjwa Mkono na walinzi
Rejea vidio na Azam Dewj
Katika tukio la leo la Makonda ni wazo kabisa Makonda anajua itifaki hiyo ndio maana hakunyoosha mkono wake Kumpa Mhe Rais ijapo alimsogelea karibu sana
Ingekuwa mtu Mwingine tayari angerusha mkono kumsalimu Rais jambo ambalo si sawa
Kwakuwa Mkuu wa Mkoa ndio wakwanza kumpokea Rais wakati anashuka kwenye gari na Kusalimiana nae .Rais hawezi kushuka kwenye gari bila RC KUTOA taarifa kuwa hali ni shwari...
Kadiri tunavyo onyesha chuki kwa Makonda ndivyo Rais anavyompenda zaidi.
Lazima kujua kuwa kama Mhe Rais na Makonda wakiamua kufanya siasa, kila siku habari zitakuwa front page
Sina nia ya kutukana lakini ukweli tatizo la wewe na wengi ni ujinga tu wa kawaida, kwa maana ya kutoelewa.
Mtoa mada kaleta somo zuri kuhusu itifaki.
Wewe sema Kama Ni ungo au baiskeli nikushauli mda utakaotumia.Unakaa porin sana mzee
Wanaanza kupoteanaKweli kamruka ukiangalia itv kwenye ukurasa wao fb ndo wanamwonyesha vizuri yaani baba kasalimia woote hadi maalis seif na jaji mastaafu warioba na mmama fulani alau kasogea karuka makonda kaenda kwa wengine
Umekosea kusema sijui kajua aliemshambulia Lissu!Heshima wakuu,
Katika hali ya kushangaza na kushitua, Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania, J Magufuli, amegoma katakata kutabasamu wala kumpa mkono rafiki na mtumishi wake mpendwa ambaye ni Mkuu wa Mkoa wa Dar Es Salaam, Mheshimiwa Paul Makonda.
Je, rais Magufuli ameshashitukia yale mambo alokuwa akiambiwa kuhusu Makonda?
Je, Uchunguzi wa kimya kimya juu ya watu waliimpiga risasi Tundu Lissu umeanza bila sisi kujua?
Je, Makonda amedanganya katika kujaza fomu za maadili ya Umma kuhusu utajiri?
Je, Malalamiko ya Meya wa Ubungo Boniface yamepata Kiki?
Je, Wakazi wa Dar kutojiandikisha kupiga kura Serikali za mitaa ndo sababu?
Je, Dar kutokufanya vizuri kwenye makusanyo ya Mapato?
Au miundo mbinu mibovu ambayo Makonda kashindwa kusimamia ndo yamemuudhi rais wetu?
Yajayo yanafurahisha, tusubiri tamko.
Zaidi, soma;
![]()
Seif Shariff Hamadi agoma kumpa mkono wa salamu Rais Dkt. Shein!
Katika kipindi cha magazetini Leo, imeripotiwa kuwa Maalimu Seif alikwepa kusalimiana Dkt Shein walipokutana kwenye maziko ya Aboud Jumbe. Hii inapeleka ujumbe gani kwa wana-Zanzibar?! ============= Maalim Seif Kukataa Mkono wa Dr.Shein kwenye Mazishi ya Al-Hajj Aboud Jumbe Mwinyi. Ujumbe...www.jamiiforums.com
View attachment 1261346
ma inzi ya kijani bhanaMabavicha bwana.
Sasa rais leo hataki kumsalimia mwanae mpendwa.Tatizo mnajiita wasomi na wana mabadiliko wanamapinduzi mmeivamia siasa kwa njaa ya ajabu sana...
Huo ndio ukweli wa itifaki Rais ndio anaanza kumpa mkono anae taka kumsalimia na si msalimiwa..