PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 14,521
- 46,663
Umenukuu wapi?
Ingawa bashite ni mjinga lakini hawezi kuandika utumbo huuu
Ingawa bashite ni mjinga lakini hawezi kuandika utumbo huuu
Nimeiona pia mahali kwingine. Nadhani hizo "nondo" zake zipo "Twiter".Umenukuu wapi?
Ingawa bashite ni mjinga lakini hawezi kuandika utumbo huuu
Kwa sababu ni mchapa kazi!Nafikiria kwa upeo wngu mdogo anatakiwa ajiulize pia kwa nn anachukiwa...
Yusuph hakula 10% kwenye ununuzi wa Ndege wala kutaja list ya wauza Unga kisha kufanya blackmail kuwakomoa watu kuwachukulia mali zao kuchukua unga kumpatia Le mutuz kwenda kuuza South Africa na china, Yusuph hakuwa na Tabia za ajabu kama za Daud BashiteYusuph hakuwahi kuwaJambazi watu, wala kuwabambika kesi, kuplan mauaji wala kuiba, alikuwa mwema wewe je?
Kwahio yeye ni mtoto wa Jiwe?eti kisa anapendwa sana na baba yake
Ndumba zake zimepungua nguvu lazima amemtuma Le mutuz kwenda kumletea waganga wapyaInaonekana Jana jiwe kukunyima mkono hujalala.pole sanaa
Ushirika wao upo kwenye Ndumba na madili tuKwahio yeye ni mtoto wa Jiwe?
Ningeshangaa.....Ushirika wao upo kwenye Ndumba na madili tu
Chanzo cha nukuu yako tafadhali!
Mfano Yusuph angekuwa Hai angefanya kitendo kama chake cha kwenda Dodoma na kina nyaulingo heri kisanduku cyprian Musiba na kikundi chake kumpiga Risasi Tundu Lisu?Yusuf hakuwa anafanya hayo anayoyafanya Bashite, na angefanya asingepata baraka alizozipata. Acha tu aendelee kujidanganya.
Ni utoto tu na ulimbukeni wa bashite ujue viongozi wengi hawajapita chuo cha diplomasia pale japo wapate short course ya mambo ya protocolNa Kwa nini dogo alitinga miwani black wakati anategemea kusalimiana na head of state?
Madhambi ya Daud Bashite ndani ya miaka minne pekee ni zaidi ya madhambi ya Yusuph ndani ya miaka 100Bashite hapaswi kujilinganisha na Yusuph kwa lolote lile. Yusuph alikuwa mtu wa haki, hakughushi vyeti, hakuwa na dharau kama bashite wala hakupanga njama kuwaumiza ndugu zake waliokuwa hawampendi. Alikuwa na upendo wa ajabu kwa ndugu zake, na wala hakulipa kisasi hata alipokuwa na nafasi ya kufanya hivyo.
Bashite huna sifa za kujilinganisha na Yusuph.