MSHITUKO: Rich Mavoko ajitabiria kifo,awaaga mashabiki wake...

MSHITUKO: Rich Mavoko ajitabiria kifo,awaaga mashabiki wake...

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Sijui ndio ujio wa wimbo mpya au ndo kashakata tamaa na maisha.....
2019-03-14_20.09.50.jpg

MAONI YA MASHABIKI
Screenshot_20190314-200930.png
Screenshot_20190314-200910.png
Screenshot_20190314-200849.png
 

Attachments

  • Screenshot_20190314-200829.png
    Screenshot_20190314-200829.png
    50.3 KB · Views: 60
Anaharibu maana halisi ya kifo.

Hata Muumba hapendezwi na hili.
 
sasa kwenye uzi huu umefata nini kama hupendi kufatilia ishu za watu? hata kwenye hili jukwaa usingekuwepo maana 99% ya sred za hapa ndani zinaongelea watu.....acha UNAFIKI
Mbona ww hatukuongelei? Anyways nachomaanisha mm kufatilia maisha personal ya mtu mfano ka msanii rich mavoco umeshindwa kufatilia nyimbo zake au video anatoa lin umekaa unajadili atakufa lini we si ndio mjinga kabsa
 
Back
Top Bottom