Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwanafa alisema "hii ni siku ya kwanza ya maisha yangu yaliyobaki"
sasa kwenye uzi huu umefata nini kama hupendi kufatilia ishu za watu? hata kwenye hili jukwaa usingekuwepo maana 99% ya sred za hapa ndani zinaongelea watu.....acha UNAFIKICjui ninamatatizo gani
Cpendagi kufatilia inshu za watu
Mbona uko poa kama hapa unafatilia Uzi wa watu,Uzi huu ni ishu ya mtuCjui ninamatatizo gani
Cpendagi kufatilia inshu za watu
Mbona ww hatukuongelei? Anyways nachomaanisha mm kufatilia maisha personal ya mtu mfano ka msanii rich mavoco umeshindwa kufatilia nyimbo zake au video anatoa lin umekaa unajadili atakufa lini we si ndio mjinga kabsasasa kwenye uzi huu umefata nini kama hupendi kufatilia ishu za watu? hata kwenye hili jukwaa usingekuwepo maana 99% ya sred za hapa ndani zinaongelea watu.....acha UNAFIKI