Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Mjumbe wa baraza la Umoja wa Vijana wa Wilaya ya Ubungo jijini Dar es salaam @dorcasmshiu amechukua fomu ya ubunge wa Viti Maalumu kundi la Vijana kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) akieleza kuakisi nyanja ya sayansi na teknolojia, kusaidia vijana kupata fursa mbalimbali na kufikisha hoja za vijana katika bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na kufanikisha ilani ya chama hicho 2025-2030.
"Nipo tayari kuwatumikia vijana wenzangu wa Kitanzania kupitia mkoa wa Dar es salaam kwa uaminifu, uadilifu, ushirikiano na kutanguliza maslahi ya vijana na Watanzania." Ameyasema hayo wakati wa uchukuaji fomu.
Source: Manara TV