dah! greti thinka hapa nimegundua kwamba na shosti ni anaza viktim. poleni nyote bana! mungu atawalipia
dah! lakini ni fresh kupata maeksperiensi ya kuumizwa bana! kama haujaumizwa unakuwa b w e g e flani hivi. si unaona ivuga amekuwa soldier sasa. habana rafiki! habana kaimati!hahahah du umekosea vibaya sana,sijawahi na haitanitokea mwanawane ila kila nnakopita vilio ni hivyohivyo,nikisikiliza miziki nakutana na hayohayo ndo maana nabata ushungu..
Dah!Ipo siku utakuja kupigwa yani,umezidi kusema ukweli!afu huyu jamaa unamshambulia sana wamjua nini?Ndo maana mie nikakwambia malizia story yako
hahahahahah ila haya nafikiri ni muendelezo wa vituko vya jini mahaba...dah! lakini ni fresh kupata maeksperiensi ya kuumizwa bana! kama haujaumizwa unakuwa b w e g e flani hivi. si unaona ivuga amekuwa soldier sasa. habana rafiki! habana kaimati!
huyu na yeye anatuyeyusha sana bana! mara kamegewa , mara jini mahaba, mara waifu kenda msalani mimba imetoka! hizi skript zake zinafanana na za king majuto.hahahahahah ila haya nafikiri ni muendelezo wa vituko vya jini mahaba...
Bila kupatwa na makasheshe kama haya utamthamini vipi akupendaye kiukweli?Moja, akupendaye kiukweli kamwe hawezi kukufanyia kama alivyofanyiwa Ivuga!
Mbili,utawezaje kweli kumthamini mtu aliyekusaliti na kukuletea maumivu ya moyo? Kweli watu tumetofautiana.
namshangaaa!
Watu wengine utafikiri wanakunya akili.
huyu na yeye anatuyeyusha sana bana! mara kamegewa , mara jini mahaba, mara waifu kenda msalani mimba imetoka! hizi skript zake zinafanana na za king majuto.
huyu na yeye anatuyeyusha sana bana! mara kamegewa , mara jini mahaba, mara waifu kenda msalani mimba imetoka! hizi skript zake zinafanana na za king majuto.
CPU bana! yaani ivuga yupo serious wewe unamuita shigongo? khaa!Sio Shigongo??

Kama demu wako amemegwa na mshikaji, basi ujue wewe una defficiences fulani fulani katika mwenendo wako wa mapenzi!

Ni muda sahihi kwako kujipeleleza na kuibuka na majibu ya nini unashindwa kumridhisha nacho!

Kukata misaada kwa ndugu na jamaa hakutasaidia kitu, zaidi sana utazidi kuumizwa tena kwa sana...

CPU bana! yaani ivuga yupo serious wewe unamuita shigongo? khaa!
kweli naungana na wana JF kwa kumwambia rfki yetu kuwa hiyo kitu haisomi kilomita hivyo avumilie tu na pia ukiona demu wako anamegwa na rafiki yako ujue unao upugufu wa kummega haumtoshelezi ndo maana anatafuta tiba mbadala.
aisee huyo rafiki hafai kabisa. Kaa naye mbali . Asije kukumega na ww.
Pole sana bwana Ivuga, haya mambo hutokea. Kwani ulimwacha kwa mda gani? Ulimuahidi kumuoa?
...aisee, kama umeni quote vibaya vile, au?
Ushauri wangu kwa Ivuga nilikusudia huko mbele ya safari, atapopendwa naye apendeke.
Ivuga, tatizo nini hapo? si mshikaji wako ameamua naye kukusaidia? Pole broda, analipa fadhila, misaada ni either way!
KWAIYO KM UNGEKUWA AUJAMSAIDIA MACHUNGU YASINGEKUWA MAKUBWA?
usitoe maneno et kwa sabbu umemsaidia
kosa lako ni kummega demu wako full stop
lakin pia mtu akisaidiwa na wewe aipaswi akulate down?
mambo madogo ayo ilioshwa mpya we kaa na demu uzungumze nae akikiri kosa mwambie akueleze mapungufu yako then jirekebshe afu km kawa......acha kumsimanga rafiki ako....KWAN USINGEMSAIDIA AU ANGEKUWA MTU BAK TU NDO ANGESSHNDWA KUKUMEGEA?