Ezra cypher
JF-Expert Member
- Jul 17, 2024
- 244
- 904
Hiyo mizimu yenyewe mpaka inakufa haikufanikisha kitu chochote, sasa inawezaje kukufanya ufanikiwe?Msiache kuomba mizimu .
Utofauti wa maombi ya mizimu na maombi ya kawaida maombi ya mizimu yanajibu haraka Sana.
Na pia gharama za kuomba mizimu ni nafuu Sana .
Dini za magharibi ziliundwa kwa ajili yao ndo maana wao wanatukuza mizimu yao
Sasa wewe unamuacha Babu yako unaenda kumuomba Maria au sijui nani unakuwa haupo serious.
Tunaomba utafiti na uzibitisho wa hili katika vijiji vyote tanzania uwe umeenda kwakila nyumba iliyopo vijijini nchini tanzania uwarekodi kua wanaabudu niini na maisha yao kwa kila nyumba maisha yao yapoje.Vijijini wanaomba mizimu kila siku na wanazidi kuwa maskini
rubbish
Ukitaka kujua mtu fukara mwenye stress za maisha angalia majibu yake katika vitu vya kawaida tu.Mnapenda kuandika shit sana mitandaoni.
Mwenzako anaemuomba maria ana procedures ambazo zinaeleweka
Kwa nini na nyie msitoe procedures namna ya kuomba hio mizimu na ikafaidiss watu
Ila mnabaki tu na vimanenno maneno humu
Weka details, acha siaa buana
Hiyo mizimu yenyewe mpaka inakufa haikufanikisha kitu chochote, sasa inawezaje kukufanya ufanikiwe?
Ukitaka kujua fala na masikini fikra mwangalie anavyoshadadia upumbavuUkitaka kujua mtu fukara mwenye stress za maisha angalia majibu yake katika vitu vya kawaida tu.
Hiyo power walishindwa wao kuanzisha Biashara?πππHuu ndo ujinga wa MTU mweusi.
Mizimu inakupa power na sio pesa au Mali.
Ukipata power anzisha baiashara jifunze kuweka akiba na kuikuza biashara.
Sasa wewe unaomba mizimu then you do nothing
Tafuta hera uache makasiriko ya kifukara hayo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] fukara mkubwa wewe.Ukitaka kujua fala na masikini fikra mwangalie anavyoshadadia upumbavu
Fukara ni wewe unaedhani utatoboa kwa mizimu iliyokufa ikiwa maskini ya kutupwa.Tafuta hera uache makasiriko ya kifukara hayo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] fukara mkubwa wewe.
Hiyo power walishindwa wao kuanzisha Biashara?πππ
How sure are sena pesaTafuta hera uache makasiriko ya kifukara hayo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] fukara mkubwa wewe.
Fukara ni wewe unaedhani utatoboa kwa mizimu iliyokufa ikiwa maskini ya kutupwa.
Huyu ni falaFukara ni wewe unaedhani utatoboa kwa mizimu iliyokufa ikiwa maskini ya kutupwa.
Jibu hoja wacha strori mingiUkitaka kujua mtu fukara mwenye stress za maisha angalia majibu yake katika vitu vya kawaida tu.
Mzimu ,yesu ,roho, ni vitu vya kufikirika tu .YESU PEKEE NDIO NJIA YA KWELI NA UZIMA MIZIMU HAIJAWAHI SAIDIA KITU
MIZIMU IMELAANIWA NI ROHO CHAFU
MSAADA WA YESU NI WA AJABU WAKATI UNAONA HAJAKUSAIDIA KUMBE TAYARI KAKUSAIDIA HAPO NDIPO WENGI HUWA HAWAELEWI NA KUONA YESU ANACHELEWA
LAKINI NENO LINASEMA BWANA HAWAI WALA HACHELEWI KWA HAO WAMTUMAINIO