Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,481
- 167,331
Si ufanikiwe peke yako?Msiache kuomba mizimu.
Utofauti wa maombi ya mizimu na maombi ya kawaida maombi ya mizimu yanajibu haraka Sana.
Na pia gharama za kuomba mizimu ni nafuu Sana.
Dini za magharibi ziliundwa kwa ajili yao ndo maana wao wanatukuza mizimu yao.
Sasa wewe unamuacha Babu yako unaenda kumuomba Maria au sijui nani unakuwa haupo serious.
Kelele za nini?