Si ufanikiwe peke yako?Msiache kuomba mizimu.
Utofauti wa maombi ya mizimu na maombi ya kawaida maombi ya mizimu yanajibu haraka Sana.
Na pia gharama za kuomba mizimu ni nafuu Sana.
Dini za magharibi ziliundwa kwa ajili yao ndo maana wao wanatukuza mizimu yao.
Sasa wewe unamuacha Babu yako unaenda kumuomba Maria au sijui nani unakuwa haupo serious.
Hakuna Mungu, Hakuna uchawi, Hakuna mizimu inayo saidia watu.Mpaka sasa sijawaona atheists kwenye huu uzi ila ingekuwa ni kuhusu Mungu chap wangewahi kuuliza thibitisha kama Mungu yupoššš
Kama Mungu hayupo na kama mizimu haipo sijui ni nini kinacho wawasha washa kujadili vitu ambavyo havipo
Kule usukumani kuna wasukuma wanamtukuza mwanamalundi. Unaposema hakuna uchawi unajizima data au huna exposureHakuna Mungu, Hakuna uchawi, Hakuna mizimu inayo saidia watu.
ššāMzimu ,yesu ,roho, ni vitu vya kufikirika tu .
Ni kweli hakuna uchawi wala mizimu inayosaidia watu, ni ujinga kutegemea uchawi na mizimuHakuna Mungu, Hakuna uchawi, Hakuna mizimu inayo saidia watu.
Habari za Yesu hata katika Historia zimeandikwa.Mzimu ,yesu ,roho, ni vitu vya kufikirika tu .
Unaweza kutukuza jiwe, mti, pango, jabali au chochote kile, Lakini kusema kwamba kitu hicho ndio kinakupa matokeo ya kazi zako, Au ndio kinawezesha mafanikio yako sio kweli.Kule usukumani kuna wasukuma wanamtukuza mwanamalundi. Unaposema hakuna uchawi unajizima data au huna exposure
Nimeuliza umewahi fuatilia historia ya Mwanamalunde? Kama humjui mwanamalunde basi! Lakini ukiweza kuthibitisha kuwa stori za mwanamalundi ni za kufikirika basi utakuwa umetishaUnaweza kutukuza jiwe, mti, pango, jabali au chochote kile, Lakini kusema kwamba kitu hicho ndio kinakupa matokeo ya kazi zako, Au ndio kinawezesha mafanikio yako sio kweli.
Mizimu ilishindwa kuzuia wakoloni. Mizimu ilifeli majimaji war. Alafu wewe unasemaje?Vijijini wanaomba mizimu kila siku na wanazidi kuwa maskini
SahihiMizimu ilishindwa kuzuia wakoloni. Mizimu ilifeli majimaji war.
Kabla ya hadithi hiyo unayoijua wewe, kwenye jamii ya wahindi wagiriki hizo hadithi za mwanamke bikra Alimzaa mwana akafa na siku ya tatu akafufuka zipo , unayoisoma wewe ni copy and paste ya juzi kati tu.Habari za Yesu hata katika Historia zimeandikwa.
All historians believe Jesus existed here on the Earth
Unathibitishaje Huyo mwanamalundi akiombwa ndio anajibu na kufanikisha maombi ya hao wasukuma?Nimeuliza umewahi fuatilia historia ya Mwanamalunde? Kama humjui mwanamalunde basi
Kuna watu waliongelea nguvu ya wazo au fikra kuvuta kitu huwa naona wana uhalisia fulani ambao binafsi naufanyia utafiti bado kuliko hawa wa mungu ,yesu shetani na mizimuš¤Shida ya watu wengi wanafikiri kwamba kuna nguvu Fulani hivi isiyoonekana inakupa mafanikio sijui nguvu ya Giza , mizimu , roho mtakatifu ,mungu baba . Amka Toka usingizini nenda kafanye kazi , kajishughulishe , kufanikiwa au kutokufanikiwa ni sehemu ya matokeo, nchi ya china Ina mafanikio makubwa sana ya kiuchumi na asilimia 90 ya raia wake hawaishi kwenye kuamini chochote kile sijui uchawi , yesu , Muhammad , mungu , malaika , shetani na vengine vya kufikirika
Wana historia wote wanakubaliana kuwa Yesu aliishi hapa duniani pamoja na mitume wake. Habari zake na za falme na wafalme katika kipindi chake zinathibitishwa kihistoria. You can deny existence of God because God is Spirit and you need spiritual insight to comprehend but denying existence of Jesus here on the Earth is foolishness.Kabla ya hadithi hiyo unayoijua wewe, kwenye jamii ya wahindi wagiriki hizo hadithi za mwanamke bikra Alimzaa mwana akafa na siku ya tatu akafufuka zipo , unayoisoma wewe ni copy and paste ya juzi kati tu.
Soma hadith ya Horus kwenye masimulizi ya kale ya wamisri
Krisha kwenye masimuliza ya wahindu.
Mithra mazimulizi ya kiajemi kwa sasa ndio iran
Dionysius masimulizi ya kigiriki
Zoroaster masimulizi ya kiajemi ya kale zaidi.
Nimeuliza mwanamalindi aliishi au habari zake ni za kufikirika? Au aliishi halafu stori za uchawi wake ni za kutunga?Unathibitishaje Huyo mwanamalundi akiombwa ndio anajibu na kufanikisha maombi ya hao wasukuma?
Hizo ni hadithi tu zimetengenezwa na warumi kupitia masimulizi ya kigiriki ndio maana 72 % ya wayahudi hawajaziweka hizo simulizi za kirumi kwenye masimulizi yao .Wana historia wote wanakubaliana kuwa Yesu aliishi hapa duniani pamoja na mitume wake. Habari zake na za falme na wafalme katika kipindi chake zinathibitishwa kihistoria. You can deny existence of God because God is Spirit and you need spiritual insight to comprehend but denying existence of Jesus here on the Earth is foolishness.
Upo uthibitisho wa kihistoria concerning existence of Jesus as a man here on the Earth
Habari za mwanamalundi umeleta wewe au mimi?Nimeuliza mwanamalindi aliishi au habari zake ni za kufikirika? Au aliishi halafu stori za uchawi wake ni za kutunga?