YESU PEKEE NDIO NJIA YA KWELI NA UZIMA MIZIMU HAIJAWAHI SAIDIA KITU
MIZIMU IMELAANIWA NI ROHO CHAFU
MSAADA WA YESU NI WA AJABU WAKATI UNAONA HAJAKUSAIDIA KUMBE TAYARI KAKUSAIDIA HAPO NDIPO WENGI HUWA HAWAELEWI NA KUONA YESU ANACHELEWA
LAKINI NENO LINASEMA BWANA HAWAI WALA HACHELEWI KWA HAO WAMTUMAINIODah Afrika mpakaikomboke sio leo
Kutokujua jambo sio kutokuwepo kwajambo hiloTatizo la waafrika hasa watanzania, Kitu ambacho hawakifahamu au maarifa ambayo hawayafahamu, Wana hitimisha kuita uchawi.
Ukiwauliza uchawi ni nini?
Na wanathibitisha vipi ni uchawi?
Hawajui.
Nimekwambia kama huwezi jibu kwa staha ni bora ukakaa kimya. Kwani ukikaa kimya utapungukiwa nini?Ukoo wako ni wa yesu umeshajitanabahi hivyo bwege wewe huwezi ukawatumikia mabwana wawili nyau wewe
Ila sioni kama njia ya kutukanana ni nzuri katika kujifunza , kupishana na mtu kuwa na mtazamo tofauti hiyo ni kawaida na sio lazima kila mtu aunge mkono wazo lako🙏Ukoo wako ni wa yesu umeshajitanabahi hivyo bwege wewe huwezi ukawatumikia mabwana wawili nyau wewe
Kila Kabila au Ukoo zinataratibu zake za kuombea mizimu,wewe muumini wa hizo mambo nenda kawaone wazee wako wa Ukoo.Mnapenda kuandika shit sana mitandaoni.
Mwenzako anaemuomba maria ana procedures ambazo zinaeleweka
Kwa nini na nyie msitoe procedures namna ya kuomba hio mizimu na ikafaidiss watu
Ila mnabaki tu na vimanenno maneno humu
Weka details, acha siaa buana
Jambo linaweza kuwepo ila watu wakawa hawana uelewa nalo na namna lilivyo wakaishia kuamini ni uchawi tu , wenzetu wangekuwa wanatoa conclusion za namna hiyo ungekuta hakuna ugunduzi wowote .Kutokujua jambo sio kutokuwepo kwajambo hilo
Mohammed nae vipi?Mzimu ,yesu ,roho, ni vitu vya kufikirika tu .
Kwani hadithi ya huko zinatofauti gani na zawayahudi? Ambazo pia warumi wazilichukua na kuongeza mila zao na tamaduni zao?Mohammed nae vipi?
Mimi nashangaa mtu anatoka sijui wapi na kuanza kutukanaIla sioni kama njia ya kutukanana ni nzuri katika kujifunza , kupishana na mtu kuwa na mtazamo tofauti hiyo ni kawaida na sio lazima kila mtu aunge mkono wazo lako🙏
Naomba tuwasiliane mkuuMimi nipo kazini Muda since 2012 Ila nilikuwa najaribu kubadilisha career and nashukuru nilifanikiwa 100%
Jf is right place to be.
Malaika ni nini??mkuu hivi unajua kinachoitwa mizimu ni majini?
Hata sasa Bwana amefanya....YESU PEKEE NDIO NJIA YA KWELI NA UZIMA MIZIMU HAIJAWAHI SAIDIA KITU
MIZIMU IMELAANIWA NI ROHO CHAFU
MSAADA WA YESU NI WA AJABU WAKATI UNAONA HAJAKUSAIDIA KUMBE TAYARI KAKUSAIDIA HAPO NDIPO WENGI HUWA HAWAELEWI NA KUONA YESU ANACHELEWA
LAKINI NENO LINASEMA BWANA HAWAI WALA HACHELEWI KWA HAO WAMTUMAINIO
Hivi ebu tuweni wakweli kati ya Babu yako na yesu nani muhimu?Kutokujua jambo sio kutokuwepo kwajambo hilo
Naunga mkono hoja, mimi ni Kuhani Mkuu wa mizimu yote ya milima ya Uluguru, karibuni kwa ibada na utakaso.Msiache kuomba mizimu.
Utofauti wa maombi ya mizimu na maombi ya kawaida maombi ya mizimu yanajibu haraka Sana.
Na pia gharama za kuomba mizimu ni nafuu Sana.
Dini za magharibi ziliundwa kwa ajili yao ndo maana wao wanatukuza mizimu yao.
Sasa wewe unamuacha Babu yako unaenda kumuomba Maria au sijui nani unakuwa haupo serious.
HaleluyaaHata sasa Bwana amefanya....
Wote tuseme Haleluyaaa
Umasikini ni relative term mkuu.Vijijini wanaomba mizimu kila siku na wanazidi kuwa maskini
Msiache kuomba mizimu.
Utofauti wa maombi ya mizimu na maombi ya kawaida maombi ya mizimu yanajibu haraka Sana.
Na pia gharama za kuomba mizimu ni nafuu Sana.
Dini za magharibi ziliundwa kwa ajili yao ndo maana wao wanatukuza mizimu yao.
Sasa wewe unamuacha Babu yako unaenda kumuomba Maria au sijui nani unakuwa haupo serious.
Kama unajua jambo hilo lithibitishe.Kutokujua jambo sio kutokuwepo kwajambo hilo
Ok. Mimi kwa upana zaidi naona MIZIMU ni mikataba (maagano) waliyoingia mababu na majini. Na kwa kuwa mababu wenyewe washakufa na mkataba unaendelea kusoma. Majini yanaexecute yale ambayo yanatakiwa kufanyika. Mfano binaadam wasipotoa sadaka waliyokubaliana, wanapata madhara stahiki (penalty). So Mizimu ni mambo ya kujitakia yaliyosababishwa na tamaa na ujinga wa mababu.mi najua mizimu ni majini yanajivika taswira ya marehemu na kujifanya roho ya marehemu
lengo ni kudanganya na kujinyakulia waumini wa shetani
naona tunakubaliana ni majiniOk. Mimi kwa upana zaidi naona MIZIMU ni mikataba (maagano) waliyoingia mababu na majini. Na kwa kuwa mababu wenyewe washakufa na mkataba unaendelea kusoma. Majini yanaexecute yale ambayo yanatakiwa kufanyika. Mfano binaadam wasipotoa sadaka waliyokubaliana, wanapata madhara stahiki (penalty). So Mizimu ni mambo ya kujitakia yaliyosababishwa na tamaa na ujinga wa mababu.
Na ndio maana unakuta sio kila jamii ina hayo mambo ya mizimu. Kuna wengine hawakuingia hayo maagano. Ila kwa wale ambao waliingia ndio shida haziishi.