Msiandike mikataba ya ununuzi wa nyumba/ viwanja mahakamani, mahakimu hawaruhusiwi kufanya hivyo

Bashir Yakub

Member
Joined
May 27, 2013
Posts
96
Reaction score
1,745
MSIANDIKE MIKATABA YA UNUNUZI WA NYUMBA/ VIWANJA MAHAKAMANI, MAHAKIMU HAWARUHUSIWI KUFANYA HIVYO.

Bashir Yakub, WAKILI
+255 714 047 241.

Nawaonya tena katika hili msiingie mkenge. Msiandike mikataba yenu ya ununuzi wa nyumba/ viwanja Mahakamani kwani inakatazwa.

Huwa mnaamini kwamba ukinunua nyumba/kiwanja kupitia mahakamani basi ndio unakuwa salama.

Achaneni na jambo hili linakatazwa na sheria. Mahakama kuu imekemea jambo hili mara kwa mara, kwa uchache, katika Rufaa Na.10/2021 kati ya HARUNA CHAKUPEWA vs PATRICK CHRISTOPHER NTULUKUNDO, pia katika Rufaa ya Ardhi Na.226/2021 kati ya SALIMA KIZABI vs BLANDINA SEMTEWELE nk.nk.

Kuna mtu atasema, mbona Mahakimu wanakubali kufanya hivyo. Ni kwasababu mnawaingiza katika majaribu na hizo 10% zenu za ununuzi.

Hakimu atakwambiaje hili na misimbazi ya kutosha iko mbele yake, ni mtihani. Pamoja na hayo wapo ambao hukataa na wapo ambao hawawezi kushinda majaribu haya.

Yumkini, madhara ya jambo hili yatarudi kwako mnunuzi au muuzaji kama sio leo ni kesho na hapo hatokuja huyo hakimu kukusaidia.

Huenda ukadhani unaenda sehemu salama kumbe ndio unaharibu zaidi. Ukweli mchungu lakini tutakuelezeni.Marejeo hapa ni mikataba ya ununuzi wa ardhi lakini hawaruhusiwi mikataba yote.

Mara nyingi mahakama za mwanzo ndio wamekuwa wakijihusisha zaidi na uandaaji pamoja na usimamiaji mikataba hii. Hasa Mahakama za Mwanzo za mijini mfano Kariakoo, Ilala, Buguruni, nk.

Mara chache jambo hili kufanyika mahakama za Wilaya na Hakimu Mkazi. Huko Mahakama kuu na Rufaa ndio hawawezi kukubali kabisa. Huko hamna kabisa mambo hayo.

Kwahiyo hii ni katika kuwajulisha tu msiingie mkenge. Yapo madhara mengi ya kufanya hivyo.

Moja, ni kuwa huyo hakimu hawezi kuja mahakamani kukutolea ushahidi ikiwa mkataba umefanyia kwake na sasa kuna mgogoro. Hawezi kuja kusimama mbele ya Hakimu mwenzake azodolewe maswali. Hii ni kutokana na mgongano wa kimaslahi(conflict of interest).

Na hapa ukikosa mtu wa kutolea ushahidi mkataba wako upo katika hatari ya kupoteza ardhi yako. Mliowahi kuandika mikataba kwa Mahakimu halafu mkapata mgogoro mnanielewa vizuri, mnajua kuwa hao jamaa hawajagi mahakamani kutoa ushahidi.

Pili, mahakama haifanyi biashara. Kumlipa hakimu naye akakubali kuandika na kukugongea mkataba wako kwa mhuri wa mahakama ni Mahakama kuingia katika biashara jambo ambalo ni kosa.

Tatu, mhuri wa Mahakama sio kwa ajili ya mikataba binafsi, bali kwa ajili ya nyaraka rasmi za kimahakama.

Kama ni kweli mahakimu wangekuwa wanaruhusiwa kusimamia mikataba basi tungeona hata Majaji nao wakisimamia mikataba ya biashara kubwa na mauziano makubwa. Hope hamjawahi kuona jambo hili.

Msiende mahakamani kuandika mikataba hairuhusiwi. Hamtaambiwa kwingine hili.
 
Kwa hiyo tuende wapi?

Msiende mahakamani kuandika mikataba hairuhusiwi. Hamtaambiwa kwingine hili.kwa
 
Umefanya vyema kutoa ANGALIZO hili.
 
Kuna mtu nilibishana nae sana hili jambo hapa hapa jf
 
Tatizo hujasema nji mbadala iliyo salama sasa
 
Mahakimu wanaruhusiwa ku certify nyaraka kama vyeti au nyaraka za kuombea passport?
 
Kama hujasema twende wapi, andiko lako halina maana.

Elezea utaratibu unaotakiwa wa manunuzi ya viwanja.
 
MSIANDIKE MIKATABA YA UNUNUZI WA NYUMBA/ VIWANJA MAHAKAMANI, MAHAKIMU HAWARUHUSIWI KUFANYA HIVYO.

Bashir Yakub, WAKILI
+255 714 047 241.

Nawaonya tena katika hili msiingie mkenge. Msiandike mikataba yenu ya ununuzi wa nyumba/ viwanja Mahakamani kwani inakatazwa.

Huwa mnaamini kwamba ukinunua nyumba/kiwanja kupitia mahakamani basi ndio unakuwa salama.

Achaneni na jambo hili linakatazwa na sheria. Mahakama kuu imekemea jambo hili mara kwa mara, kwa uchache, katika Rufaa Na.10/2021 kati ya HARUNA CHAKUPEWA vs PATRICK CHRISTOPHER NTULUKUNDO, pia katika Rufaa ya Ardhi Na.226/2021 kati ya SALIMA KIZABI vs BLANDINA SEMTEWELE nk.nk.

Kuna mtu atasema, mbona Mahakimu wanakubali kufanya hivyo. Ni kwasababu mnawaingiza katika majaribu na hizo 10% zenu za ununuzi.

Hakimu atakwambiaje hili na misimbazi ya kutosha iko mbele yake, ni mtihani. Pamoja na hayo wapo ambao hukataa na wapo ambao hawawezi kushinda majaribu haya.

Yumkini, madhara ya jambo hili yatarudi kwako mnunuzi au muuzaji kama sio leo ni kesho na hapo hatokuja huyo hakimu kukusaidia.

Huenda ukadhani unaenda sehemu salama kumbe ndio unaharibu zaidi. Ukweli mchungu lakini tutakuelezeni.Marejeo hapa ni mikataba ya ununuzi wa ardhi lakini hawaruhusiwi mikataba yote.

Mara nyingi mahakama za mwanzo ndio wamekuwa wakijihusisha zaidi na uandaaji pamoja na usimamiaji mikataba hii. Hasa Mahakama za Mwanzo za mijini mfano Kariakoo, Ilala, Buguruni, nk.

Mara chache jambo hili kufanyika mahakama za Wilaya na Hakimu Mkazi. Huko Mahakama kuu na Rufaa ndio hawawezi kukubali kabisa. Huko hamna kabisa mambo hayo.

Kwahiyo hii ni katika kuwajulisha tu msiingie mkenge. Yapo madhara mengi ya kufanya hivyo.

Moja, ni kuwa huyo hakimu hawezi kuja mahakamani kukutolea ushahidi ikiwa mkataba umefanyia kwake na sasa kuna mgogoro. Hawezi kuja kusimama mbele ya Hakimu mwenzake azodolewe maswali. Hii ni kutokana na mgongano wa kimaslahi(conflict of interest).

Na hapa ukikosa mtu wa kutolea ushahidi mkataba wako upo katika hatari ya kupoteza ardhi yako. Mliowahi kuandika mikataba kwa Mahakimu halafu mkapata mgogoro mnanielewa vizuri, mnajua kuwa hao jamaa hawajagi mahakamani kutoa ushahidi.

Pili, mahakama haifanyi biashara. Kumlipa hakimu naye akakubali kuandika na kukugongea mkataba wako kwa mhuri wa mahakama ni Mahakama kuingia katika biashara jambo ambalo ni kosa.

Tatu, mhuri wa Mahakama sio kwa ajili ya mikataba binafsi, bali kwa ajili ya nyaraka rasmi za kimahakama.

Kama ni kweli mahakimu wangekuwa wanaruhusiwa kusimamia mikataba basi tungeona hata Majaji nao wakisimamia mikataba ya biashara kubwa na mauziano makubwa. Hope hamjawahi kuona jambo hili.

Msiende mahakamani kuandika mikataba hairuhusiwi. Hamtaambiwa kwingine hili.
Sawa umetuzuia tusiende mahakamani wapi ni sehemu sahihi kwa ajili ya hiyo mikataba ya nyumba na ardhi?
 
Angalizo ni nzuri, liboreshe kwa kutoa ushauri namna nzuri na vitu vya kuzingatia kwenye hii mikataba.
 
Back
Top Bottom