Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Yes msiba ni sherehe,hasa jamii za kichaga,tunakodi mziki ama hata kwaya,tunashusha kreti za bia na pombe,tunakunywa tunalewa,tunachinja ng'ombe na baada ya maziko kutawanyika wanafamilia tunabaki kuomboleza kwa bia na mbuzi.Kuna baadhi ya misiba unakuta hadi bia na soda. Wakati hivi vitu tumezoea ni kwenye masherehe tu.

Itakuwa UchaganiMie kwa mara ya kwanza kuona hayo mambo ni msiba wa bamkwe!.. Yaani watoto plus mama wanamiminiana tu konyagi wanaliaaaa ikiisha wanakunywa tena! Ukweli haitakjja nitoka akilini!...sijui wanapata wapi hizo nguvu
[emoji54][emoji54][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]itakua uchagani hukoo msiba bajeti milioni 20Kuna msiba kila siku walikuwa wanashusha kreti za bia na soda na maji ya kilimanjaro, kupika wapishi wamekodiwa ndio wanapika. Ng'ombe wanadondoka tu!!
Kwakweli hata mimi nilikuwa muombolezaji wakati hata aliekufa simfahamu.
Walaaa, wajaluo hao.[emoji54][emoji54][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]itakua uchagani hukoo msiba bajeti milioni 20
Nao hao misiba kwao mwaka mzimaWalaaa, wajaluo hao.