Ambition plus
JF-Expert Member
- Feb 23, 2018
- 6,101
- 11,381
Yes msiba ni sherehe,hasa jamii za kichaga,tunakodi mziki ama hata kwaya,tunashusha kreti za bia na pombe,tunakunywa tunalewa,tunachinja ng'ombe na baada ya maziko kutawanyika wanafamilia tunabaki kuomboleza kwa bia na mbuzi.Kuna baadhi ya misiba unakuta hadi bia na soda. Wakati hivi vitu tumezoea ni kwenye masherehe tu.
Mbona hakuna tatizo,hata tukilia sana haisaidii mana ndugu yetu hayupo tena kwenye ulimwengu huu.