Msiba hata uwe mzito kiasi gani chakula hakiwezi kuacha kupikwa

Kuna baadhi ya misiba unakuta hadi bia na soda. Wakati hivi vitu tumezoea ni kwenye masherehe tu.
Yes msiba ni sherehe,hasa jamii za kichaga,tunakodi mziki ama hata kwaya,tunashusha kreti za bia na pombe,tunakunywa tunalewa,tunachinja ng'ombe na baada ya maziko kutawanyika wanafamilia tunabaki kuomboleza kwa bia na mbuzi.
Mbona hakuna tatizo,hata tukilia sana haisaidii mana ndugu yetu hayupo tena kwenye ulimwengu huu.
 
Kuna msiba kila siku walikuwa wanashusha kreti za bia na soda na maji ya kilimanjaro, kupika wapishi wamekodiwa ndio wanapika. Ng'ombe wanadondoka tu!!
Kwakweli hata mimi nilikuwa muombolezaji wakati hata aliekufa simfahamu.
[emoji54][emoji54][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]itakua uchagani hukoo msiba bajeti milioni 20
 
Msiba ni sherehe, hapo mhusika hayupo na hajui kinachoendelea. Kupika, kula na kunywa ni ishara nzuri tu ya kumsindikiza safari yake huko. Sisi msiba lazima ng'ombe ashushwe chini, watu wale coz ule usile ndugu keshatangulia hivyo.
 
Back
Top Bottom