Msiba: Mwakyembe afiwa na mama yake

Msiba: Mwakyembe afiwa na mama yake

Pole sana Dr. Mwakyembe.

May God Rest Her Soul In Eternal Peace.

Amen
 
(i)(i)(i)(i)(i)(i)(i)(i)(i)(i)
(i)(i)(i)(i)(i)(i)(i)(i)(i)(i)
(i)(i)Eternal Peace(i)(i)
(i)(i)(i)(i)(i)(i)(i)(i)(i)(i)
(i)(i)(i)(i)(i)(i)(i)(i)(i)(i)
 
Pole sana Dr. kwa msiba huu mkubwa. Mungu ailaze roho ya mama yetu mahali pema!
 
Pole sana Dr. Mwakyembe kwa msiba mkubwa uliokupata wewe na familia yako. Mungu awape nguvu, faraja na uvumilivu katika kipindi hiki kigumu kwenu. Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi~AMEN.
 
Pole sana Dr. Mwakyembe na familia yote.
 
Poleni sana familia ya Mwakyembe. Mwenyezi Mungu amlaze marehemu pahala pema peponi.
 
For those who lost their love ones, please be strong. Love have no boarders. Let us ease your pain and live strong.
I am not able to feel what the people in Kyela & Mwakiyembe family feel,Hence I can feel how they felt as those came in a sudden and no one had any preparation and no sign of alarm,pole sana Dr Mwakyembe ndio ukubwa.
 
mheshimiwa na shujaa wetu, hon,Dr. harrison mwakyembe amefiwa na mpendwa Mama yake mzazi, kwa mujibu wa mtangazo ya vifo ya radio free afrika monitored here in meya this morning, mpendwa marehemu mama huyu atazikwa huko kyela siku ya jumatano

POLE SANA DR. MWAKYEMBE, MUNGU AKUTIE NGUVU!

dah ni Dec mwaka jana tu......alikuwa kwenye hali kama hiyo tena....Pole sana Mh Mwakyembe
 
Pole Mheshimiwa Dr.Mwakyembe,Mwenyezi Mungu akupe nguvu wewe na Familia yako katika kipindi hichi kigumu cha maombolezo....Sote kwa pamoja tupo nawe katika sala za kumuombea Mama yetu Mapumziko mema ya Milele!!Amen.
 
dah ni Dec mwaka jana tu......alikuwa kwenye hali kama hiyo tena....Pole sana Mh Mwakyembe


december ? DR ALIPATWA NA MASAIBU HANI TENA? POLENI SANA AKINA MWAKYEMBE WOTE KWA KUMPOTEZA MAMA MZAA CHEMA,
 
Gwamyitu Malafyale Alisoni,
Ndaga fijo nu ubufwe gwa Juubha gwitu. Ndaga mulilile. Kyala abhatule mwesa mu akabhalilo aka kakafu, kangi abhatule fijo. Tuntufye Kyala akabhalilo kosa. Ndaga fijo.

May our Mother's Soul Rest In Eternal Peace, Amen.
 
Pole sana Mheshimiwa, niko nawe katika wakati huu mgumu, vuta subira. Mwenyezi Mungu aiweke roho ya marehemu mahala pema -- Amin.
 
Pole sana Mpambanaji mwenzetu Mwakyembe. Mungu akutie nguvu katika msiba huu mzito wa mzazi wako mpendwa.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa. Jina lake liimidiwe.
 
Ndaga nu kufwililigwa na mama umpapi.Kyala amwmbilile Kumwanya
 
Pole sana Dr Mwakyembe
Mwenyezi Mungu awafariji pamoja na familia yako ndugu na jamaa.
 
Poleni wafiwa wote na Mungu awape nguvu katika kipindi hiki kigumu cha msiba wa mama yenu mpendwa. RIP Mama
 
Back
Top Bottom