Msiba SUA

Msiba SUA

Inasadikika kifo cha marehemu kilisababishwa na stress za asgmnt,jamani sua punguzeni asgmnt
 
Ahsante ndg' japo ktk msafara wao uck wa leo wamevamiwa na majambaz na kuporwa kila kitu na wengine wameumia wako hospitaln' dah M/MUNGU tusaidie waja wako'

Kerpp - Hosipitalini walienda kwa check up tu, hawakuumizwa sana ila mmoja ndio ana chechemea mdogo wangu yupo kwenye huo msafara ndio aliye tuhabarisha. hata hivyo imebidi walale Singida waendelee na safari kesho.
 
duh poleni wadau,,nakumbuka mwaka 2011 mwanzoni tuliagwa na mwanachuo wa kiume aliyetokea kigoma alikuwa ni mzee mkubwa tu mwenye familia.MUNGU AZILAZE ROHO ZAO MAHALI PEMA PEPONI,AMEN

ndo kilichobak kuwaombea,
 
Mwanafunz wa kiume mwaka wa tatu afariki dunia ghafla saa3 alfajil, baada ya kutoka disc na kujisikia vibaya na kufariki papo hapo, anatokea Tarime (LYOBA), R.I.P ndugu yetu.

R.I.P mwanafunzi!! mkuu hiyo saa 3 inakuwa bado ni alfajil kwa huko!!!
 
Kerpp - Hosipitalini walienda kwa check up tu, hawakuumizwa sana ila mmoja ndio ana chechemea mdogo wangu yupo kwenye huo msafara ndio aliye tuhabarisha. hata hivyo imebidi walale Singida waendelee na safari kesho.

dah pole ndg yang' yaan inaniuma sana ila ndo hvyo inatubid tumuachie ALLAH, vip we uko pand gan?
 
R.I.P mwanafunzi!! mkuu hiyo saa 3 inakuwa bado ni alfajil kwa huko!!!

zamaulid hyo syo saa ya kiswahl au ulitaka nikuambie saa9 alfajr/asb, achana na hyo mambo cha msing n maomb kwa ndg yetu,
 
Back
Top Bottom