Msiba SUA

Msiba SUA

n kwel inatakiwa 2mwamn yey kwa kla jambo,

Poleni sana, nipo huku main campus ndio nimepata taarifa jana jioni kuwa kulikuwa na msiba huko Mazimbu campus.....R.I.P Lyoba.
 
Kwenye Gazeti moja la leo limeripoti kwamba gari iliyokuwa inasafirisha msiba(wa Lyoba) walivamiwa na majambazi na wameporwa vitu mbali mbali ikiwemo fedha na simu,pia walivunja sanduku lilikowa na mwili
 
Mwenye taarifa sahihi atupatie! Alikuwa kozi ipi? Before alisoma chuo gani? Alikuwa anafanya kazi? Wapi?
 
Mwenye taarifa sahihi atupatie! Alikuwa kozi ipi? Before alisoma chuo gani? Alikuwa anafanya kazi? Wapi?

marehemu alkua anapiga Bsc wth edc (bio&geo), kabla ya hapo alchukua dploma ya ualmu tarime na kwenda shnyanga kkaz' ila ameacha mke alojfungua kwa operatn
 
marehemu alkua anapiga Bsc wth edc (bio&geo), kabla ya hapo alchukua dploma ya ualmu tarime na kwenda shnyanga kkaz' ila ameacha mke alojfungua kwa operatn

mkuu nashukuru, nimepata uthibitisho toka kwa watu wa Mwadui. R. I. P. Mdogo wangu. Nimekaa naye toka udogo.
 
Back
Top Bottom