Amina sana.polen sana ndg' 2ko pa1 sana ktk kpnd hk kgumu,
Poleni sana ndugu zetu,MUNGU awatie nguvu ktk kipindi hiki kigumu.
Kama katoka disco usikute kawekewa sumu ngoja postmortem
n kwel inatakiwa 2mwamn yey kwa kla jambo,
Mwenye taarifa sahihi atupatie! Alikuwa kozi ipi? Before alisoma chuo gani? Alikuwa anafanya kazi? Wapi?
marehemu alkua anapiga Bsc wth edc (bio&geo), kabla ya hapo alchukua dploma ya ualmu tarime na kwenda shnyanga kkaz' ila ameacha mke alojfungua kwa operatn