Msiba wa King Majuto: Aibu yako Kikwete, aibu yetu Watanzania...

Aibu kwako hujawapa ndugu zako wote mitaji. Wasanii nchi hii ni wengi atampa nani amuache nane?
 

PUMBA PLUS Hizi.kwani kukosa tractor kuna uhusiano gani na umauti wake
 

PUMBA PLUS Hizi.kwani kukosa tractor kuna uhusiano gani na umauti wake
 

PUMBA PLUS Hizi.kwani kukosa tractor kuna uhusiano gani na umauti wake
 
Yanga pia waliomba waongezewe eneo pale Jangwani ili wajenge uwanja wa kisasa, siku ikifa JK ajiandae na lawama
 
Hivi unafahamu kwamba hata hao wenye majina yao kwenye hayo matrekta kama Massey Ferguson, Ford na Valment wameshafariki?

Siku nyingine ukisikia hamu ya kujamba usije kutujambia huku JF.
 
Kugawa matrekta siyo kazi ya Rais. Halafu siku ikifika aliyopanga Mungu hakunaga wa kupinga mbona serikali iligharamia matibabu yake mpaka India akarudi afya imeimarika?
Mtoto wake aitwaye Hamza Amri aliteuliwa na JPM kuwa DAS mkoani Tanga hivi karibuni
 
Kwetu huwa tunafanya sherehe mzee wa makamo yale kufariki. Maana umri uliobakia ulikua ni umri wa kushambuliwa na magonjwa, hivyo kumfanya ateseke maishani mwake
Kabisa amefariki ana miaka 71 kasoro. Tumshukuru Mungu kwa kutupatia nafasi ya kuishi naye kwa umri mrefu zaidi. Kuna wasanii kama Kinyambe waliugua na kufariki hata miaka 30 haijafika
 
Huu ni ukweli mchungu ambao wengi hawapendi kuambiwa mamaeee
 
Nchi yetu bana

1. Mtu unapofanya kazi ya kipato kumbuka kuweka akiba pale unapochoka kwa uzee ama kwa magonjwa

2. Serikali inategemea wananchi wake wazalishi ndio ipate kodi kwa ajili ya maendeleo sasa kila mtu akitaka serikali impe mtaji wapi na wapi?

3. Unakuta mmachinga anatokwa kwao huko anakuja mjini na kuanza kuipigia kelele serikali impatie sehemu ya kufanya kazi, sasa kila mtu atafutiwe sehemu ya kufanya kazi na serikali?
 
Usipojisimamia mwenyewe unasubiri nani akusimamie? Ishu ya mikataba ni ishu binafsi biashara ni suala huria, ni makubaliano. Kikubwa alitakiwa ajifunze kwa kukosea mkataba wa kwanza na wa pili, inayofuata hutakiwi kukosea. Wapo wasanii wanaojielewa wametoka kwa kazi hiyo ya sanaa na wasiojielewa wanazeeka wakiwa masikini. Kuna JD, SUGU, PROF. JAY, DIAMOND na wengine wengi wapo vzuri kwasababu ya sanaa. Tatizo lao kutojisimamia vizuri na ukishindwa kujisimamia bora ukaajiri mtu wa kusimamia kipaji chako (meneja)
 
Acha lawama zisizokuwa na mashiko,muda wake wa kuishi umefika kikomo na vitabu vya dini vinasema"kila nafsi itaonja mauti".Kwaiyo unataka kusema kuwa JK ndiye kasababisha kifo chake?!!!!!
 
Wewe bwana naona umekuja kumdhalilisha mzee wetu hebu muache apumzike kwa amani please, pambana na maisha yako lawama hazikusaidii kitu nyie ndio mnawekaga mifundo tangu mtu alikunyima 'askirimu' utotoni unakua nalo hadi uzeeni.

Pathetic.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…