Madam Mwajuma
JF-Expert Member
- Sep 13, 2014
- 7,071
- 6,753
Aibu kwako hujawapa ndugu zako wote mitaji. Wasanii nchi hii ni wengi atampa nani amuache nane?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Taifa lipo msibani!
Ni msiba wa kitaifa kuondokewa na mfalme wa sanaa nchini, King Majuto. Hakuna haja ya maelezo mengi maana historia yake inajitetea!
Nimetazama nyakati za mwisho wakati anapambania uhai wake Tanzania na India. Pongezi kwa waliofanya jitihada za kumuwezesha kumudu gharama za matibabu ikiwemo Serikali na wadau wengine.
Kifo cha mzee wetu kimetuacha na aibu. Aibu zaidi kwa Rais Mstaafu wa JMT, Jakaya M. Kikwete.
Ni mara nyingi kabla ya maradhi yake Mzee Majuto amekuwa akiomba kwa unyenyekevu apatiwe msaada wa Trekta ili aweze kufanya kilimo cha nguvu.. Aliamini kilimo kitamfaa katika nyakati zake za mwisho kwa maana sanaa haikumfaa vya kutosha.
Si mara moja au mbili alituma direct ombi lake kwa Rais aliye madarakani wakati huo JK aangalie uwezekano wa kumsaidia lakini mpaka anafikwa na mauti hilo halikuwezekana.
Kama Rais wa nchi na wasaidizi wake wameshindwa kusaidia hilo, wanajisikiaje leo wanapoenda kumuaga?
Nakumbuka alisema amesikia na atalifanyia kazi. Nilitarajia BASATA wangeangalia namna ya kutumia sanaa yake kumfanikishia lengo lake.
Hayo yangetokea, pengine mzee angeweza kumudu gharama za matibabu na kupunguza risk ya kufariki mapema. Pengine angekuwa na furaha akastaafu zake sanaa akala mema.. Pengine mambo yangekuwa tofauti.. Pengine, pengine..
Watanzania tuone aibu kwa hili na liwe funzo kwa yajayo.
Rest in Peace King Majuto.

Hivi unafahamu kwamba hata hao wenye majina yao kwenye hayo matrekta kama Massey Ferguson, Ford na Valment wameshafariki?Taifa lipo msibani!
Ni msiba wa kitaifa kuondokewa na mfalme wa sanaa nchini, King Majuto. Hakuna haja ya maelezo mengi maana historia yake inajitetea!
Nimetazama nyakati za mwisho wakati anapambania uhai wake Tanzania na India. Pongezi kwa waliofanya jitihada za kumuwezesha kumudu gharama za matibabu ikiwemo Serikali na wadau wengine.
Kifo cha mzee wetu kimetuacha na aibu. Aibu zaidi kwa Rais Mstaafu wa JMT, Jakaya M. Kikwete.
Ni mara nyingi kabla ya maradhi yake Mzee Majuto amekuwa akiomba kwa unyenyekevu apatiwe msaada wa Trekta ili aweze kufanya kilimo cha nguvu.. Aliamini kilimo kitamfaa katika nyakati zake za mwisho kwa maana sanaa haikumfaa vya kutosha.
Si mara moja au mbili alituma direct ombi lake kwa Rais aliye madarakani wakati huo JK aangalie uwezekano wa kumsaidia lakini mpaka anafikwa na mauti hilo halikuwezekana.
Kama Rais wa nchi na wasaidizi wake wameshindwa kusaidia hilo, wanajisikiaje leo wanapoenda kumuaga?
Nakumbuka alisema amesikia na atalifanyia kazi. Nilitarajia BASATA wangeangalia namna ya kutumia sanaa yake kumfanikishia lengo lake.
Hayo yangetokea, pengine mzee angeweza kumudu gharama za matibabu na kupunguza risk ya kufariki mapema. Pengine angekuwa na furaha akastaafu zake sanaa akala mema.. Pengine mambo yangekuwa tofauti.. Pengine, pengine..
Watanzania tuone aibu kwa hili na liwe funzo kwa yajayo.
Rest in Peace King Majuto.
Mtoa sredi Kwanini hakumnunulia yeye?
Kabisa amefariki ana miaka 71 kasoro. Tumshukuru Mungu kwa kutupatia nafasi ya kuishi naye kwa umri mrefu zaidi. Kuna wasanii kama Kinyambe waliugua na kufariki hata miaka 30 haijafikaKwetu huwa tunafanya sherehe mzee wa makamo yale kufariki. Maana umri uliobakia ulikua ni umri wa kushambuliwa na magonjwa, hivyo kumfanya ateseke maishani mwake
Huu ni ukweli mchungu ambao wengi hawapendi kuambiwa mamaeeeYule mzee amefanya kazi ya maigizo kwa muda wote.
Kaingia mikataba.
Kafanya matangazo.
Kalamba deals na Al Riyami.
Kaonyeshwa Channel 10.
VHS na DVDs zimeuzwa.
Steps walikua naye.
Ana muvi alizoitwa kama mshiriki.
Unamlaumu Kikwete kwa kutotoa trekta?
Unatulaumu waTanzania?
Kuna waTz wangapi hawana jukwaa la kumlalamikia raisi?
Unaona Majuto anastahili kuliko watu wote?
Umeziangalia fursa alizowahi kua nazo?
Usipojisimamia mwenyewe unasubiri nani akusimamie? Ishu ya mikataba ni ishu binafsi biashara ni suala huria, ni makubaliano. Kikubwa alitakiwa ajifunze kwa kukosea mkataba wa kwanza na wa pili, inayofuata hutakiwi kukosea. Wapo wasanii wanaojielewa wametoka kwa kazi hiyo ya sanaa na wasiojielewa wanazeeka wakiwa masikini. Kuna JD, SUGU, PROF. JAY, DIAMOND na wengine wengi wapo vzuri kwasababu ya sanaa. Tatizo lao kutojisimamia vizuri na ukishindwa kujisimamia bora ukaajiri mtu wa kusimamia kipaji chako (meneja)Watanzania mna hasira! Hahaha..
Okay nawatoa kwenye lawama, nabakisha ya JK na BASATA..
Kama mngenisoma vizuri, mngeelewa mantiki yangu.
Kikwete hata asingempa trekta, kwa nafasi yake bado alikuwa anao uwezo wa kuagiza mamlaka za chini yake ziangalie namna ya kumnufaisha au kuwanufaisha wasanii na kazi zao..
Hii mikataba mnaitaja taja tu lakini wasanii wanapigwa kinoma na hawana ubavu wa kujitetea. Mamlaka zina nguvu ya kuhakikisha hawaonewi!
Hili ni dongo kwa mamlaka. Msome katika urari huo!
Tumejaa lawama ndo maana hata hatuendeleiHapo sasa