Msiba wa Mama yake Askofu Mwamakula wapandisha Joto la Kisiasa Kyela

Msiba wa Mama yake Askofu Mwamakula wapandisha Joto la Kisiasa Kyela

Kyela inamhitaji Mwakyembe.Mbunge wa sasa amepwaya

Dr Mwakyembe hawezi shinda CCM kura za maoni,hela hana.
2025 CCM ni vita vya hela kati ya Mbunge Kinanasi na aliye kuwa katibu mkuu Ujenzi na rafiki sana wa Hayati Magufuli Eng Elius Mwakalinga ‘mzee wa expansion joint’

Eng Mwakalinga ana pesa sana pia.
 
Dr Mwakyembe hawezi shinda CCM kura za maoni,hela hana.
2025 CCM ni vita vya hela kati ya Mbunge Kinanasi na aliye kuwa katibu mkuu Ujenzi na rafiki sana wa Hayati Magufuli Eng Elius Mwakalinga ‘mzee wa expansion joint’

Eng Mwakalinga ana pesa sana pia.
Hivi Mwakalinga vipi kuhusu umri ? halafu kuna mkakati wa wazi wa kushughulikia wafuasi wa Jiwe , akiwemo Mchoma Nyavu
 
Huyo Dada nilikuwa NAMPENDA SANA ila nilipokuja kujua ni MWANAUME NIKAMUONA MPUUZI SANA.
 
Bado sijafahamu sababu hasa za Wanasiasa kujazana kwenye Msiba wa Bibi yule, ambaye yeye mwenyewe hakuwa Mwanasiasa.

Bali nadhani uwepo wa Mtoto wake, mpigania haki Emmaus Bandekile Mwamakula yaweza kuwa chanzo cha kujazana kwa wanasiasa kwenye msiba huo wa mkulima mdogo wa Kijiji cha Itunge.

Sijui kama walialikwa ama la , Lakini ccm ndio waliokuwa wa kwanza kutoa salamu zao kwenye msiba huo, wakiongozwa na Diwani wa eneo hilo pamoja na Mwakilishi wa Mbunge, kama kawaida ya ccm wakaleta porojo zao za ujenzi wa barabara kutoka Community center hadi Itunge, jambo ambalo lilizua zogo msibani hapo, hii ni baada ya Waombolezaji kutokuwa na imani na CCM, wanadai porojo hizo ni za kila mwaka.

Kazi ikaanza baada ya Wawakilishi wa Chadema, ambao ni Mwenyekiti wa Mkoa wa Mbeya, China wa China na Twaha Mwaipaya kutoka Bavicha Taifa, baada ya hawa kupewa kipaza sauti Msiba ukageuka kuwa Shangwe, walipangua uongo wote wa CCM, hakika Chadema Kyela ina watu.
Na wewe utagombea? Au wewe utaishia kuwa mpambe miaka yote?
 
Back
Top Bottom