Yaan pamoja na uwezo mkubwa wakusaidia jamii hawakufanya hivyo, hawana msaada, ndo mana wanafananishwa na wanakijiji,,, maprof wa kibongo baadhi yao ni vapour tuHivi maprofessor wamewakosea nini watanzania. Uprofesa ni cheo tu kule chuoni yaliyobaki ni kujiongeza kutegemea na mazingira. Mnategemea makubwa sana toka kwao lakini ni wachache wajuao ni mazingira gani wanafanyia kazi. Kwani kuzikwa kama mwanakijiji wa kawaida kuna tatizo gani?
unamsema Kabudi?😂
Unataka kuwadhalilisha tu Maprofessor. Hivi unafikiri kama mtu amefundisha miaka 30 kwa mfano, ametoa ujuzi kwa watu wangapi achilia mbali tafiti zake na ushauri wake. Wewe unafikiri concept ya tafiti kaiweka nani? Na Professa asiye tafiti dunia hii ni professor wa wawapi. Tembelea SUA au Muhimbili uone maprofessor wanafanya kazi gani. Tafiti kuishia kwenye kabati ina mambo mengi nyuma yake na mara nyingi sio tatizo la professor duniani wachumi husema tuna "division of labor". Na hii inaweza kumaanisha kuwa siyo lazima professor apeleke kazi yake kijijini ingawa wako wengi tu wanaofanya tafiti moja kwa moja huko vijijini. Usichokijua ni kama usiku wa giza.Kodi nyingi za wauza vitumbua zilitumika kumfanya yeye awe professor lakini hajarudi kwao kuwaonyesha namna bora ya kuoka vitumbua bila kuumizwa na moshi wa mafuta na mkaa wakati wa kuchoma vitumbua. Kazi Yao ni kuandika tafiti za kupandia vyeo na kuishia kwenye makabati ya maktaba. Nyambafu
Utasema mengi sana, nashangaa kusema professor atazeeka kwenye vibarua, ulitaka azeeke wapi. Naona concept ya human capital huifahamu kabisa. Watu wana mazingira tofauti yanayo waruhusu kufanya mambo tofauti. Ili unayo taka yatimie basi badilisha mfumo waote wa vyuo vikuu duniani ikiwa ni pamoja na mfumo wa promotion. Binadamu huendana na incentives zilizopo. Hivi unajua hao maprofessor hela za huo utafiti wanazitoa wapi? Ruge amefanya yakwakwe aliyoweza, baba yake Ruge ambaye ni professa nae amefanya na anafanya yake anayo weza ikiwa ni pamoja na kumlea mwanae afike hadi hapo. Wewe unajua yule mzee amefundisha na kuwapa ujuzi watu wangapi?Maprofesa wetu wamezaliwa kijijini na wakunga wa jadi, walichapwa sana shuleni hadi wanaingia woga na hofu iliyobaki vifuani mwao hadi uzeeni.
Professor wetu hawezi kujiajiri mwenyewe hata kidogo, atazeekea kwenye vibarua na atafia kwenye vibarua vya watu. Amejaa hofu ya maisha, Hana ndoto amejaza tafiti asizoziamini, ziko kabatini kwake hakuna hata moja aliyoitekeleza. Akiulizwa anakwambia no funds. Akina Ruge walikuwa wanatafuta funds za kutengeneza ndoto zao ziwe kweli.
Hivi mnataka hao maprofessa wasaidiaje jamii? Kwa mfano chuo kama SUA kina outreach activities na utafiti ambao hufanya na jamii. Kama hawasaidii jamii unajuaje wana uwezo mkubwa wa kusaidia jamii?Yaan pamoja na uwezo mkubwa wakusaidia jamii hawakufanya hivyo, hawana msaada, ndo mana wanafananishwa na wanakijiji,,, maprof wa kibongo baadhi yao ni vapour tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Unafaidika vipi unapozikwa na mamilioni ya watu?Heshima ya mtu haitatokana na umri wako, elimu yako wala cheo chako kwenye jamii, bali itatokana na huduma yako Kwa jamii.
Unaowahudumia ndio watakaokukweza sio waliokuteua.
Tunao maprofesa hapa nchini kama watakufa leo watazikwa kama wanakijiji wa kawaida Tu. Elimu zao hazihusiki katika kutatua shida na kero za wanajamii wa kawaida kabisa. Ruge pamoja na umri wake mdogo na elimu ya kawaida kabisa (sio PhD wala Master's) lakini watu walifaidika nayo moja Kwa moja kiasi cha kuwafanya wajitokeze Kwa wingi kumlilia.
Elimu yako, cheo chako na umri wako ni bure kabisa kama raia wa kawaida kabisa kule nanjilinji.
Unajua ni watu wangapi wanapata elimu kutoka kwa professor kila mwaka elimu ambayo inawasaidia katika maisha yao yote wao na familia zao?Mkuu professor ni mtu mkubwa Sana ndani ya jamii, ni mtu ambae anatakiwa kutengenezea wengine fursa, lakini hawa wa kwetu wengi wao wanaishia kwao wenyewe na ngazi ya familia zao Tu. Akijitahidi Sana atagusa kidogo watu wa kabila lao na kanda Yao Tu basii.
Hatukatai professor kafundisha watu wengi sana, lakini hawa waliofundishwa na professor mbona hawamuinui professor wao siku akifa kama Ruge alivyowahangaisha hata viongozi wote wakuu wa nchi alipokufa? Hivi iko haja professor atafute part time hata baada ya kustaafu rasmi? Badala ya kuajiri yeye anaajiriwa uzeeni kuwazibia fursa vijana. Yaani professor kashindwa kutengeneza mtu wa kumuachia kazi yake baada ya yeye kustaafu.Unataka kuwadhalilisha tu Maprofessor. Hivi unafikiri kama mtu amefundisha miaka 30 kwa mfano, ametoa ujuzi kwa watu wangapi achilia mbali tafiti zake na ushauri wake. Wewe unafikiri concept ya tafiti kaiweka nani? Na Professa asiye tafiti dunia hii ni professor wa wawapi. Tembelea SUA au Muhimbili uone maprofessor wanafanya kazi gani. Tafiti kuishia kwenye kabati ina mambo mengi nyuma yake na mara nyingi sio tatizo la professor duniani wachumi husema tuna "division of labor". Na hii inaweza kumaanisha kuwa siyo lazima professor apeleke kazi yake kijijini ingawa wako wengi tu wanaofanya tafiti moja kwa moja huko vijijini. Usichokijua ni kama usiku wa giza.
Tena SuA Ndiyo usiitaje kabisa. Watu walitarajia sua ndo ingeongoza Mapinduzi ya kilimo nchini lakini hakuna kitu kabisa. 90% ya wakulima, wavuvi, wafugaji wanalima vilevile walivyokuwa wakilima, kuvua na kufuga kabla mkoloni hajafika. Ndio maana prof wa aina hiyo akifa anakufa kama mwanakijiji wa kawaida Tu. Hawaangalii hata vitabu wakaachia wananchi wasome. Nchi hii bado inaagiza vitabu toka kwinginekoHivi mnataka hao maprofessa wasaidiaje jamii? Kwa mfano chuo kama SUA kina outreach activities na utafiti ambao hufanya na jamii. Kama hawasaidii jamii unajuaje wana uwezo mkubwa wa kusaidia jamii?
Ungekaa ukajiuliza kwa nini Ruge anazikwa kitaifa kuliko hata viongozi wa kitaifa achilia mbali hao maprofesa usingeleta uzi wako wa kipuuzi kuwakejeli maprofesa! Kuna uzi humu unajaribu kujibu swali hili nenda kausome!Hatukatai professor kafundisha watu wengi sana, lakini hawa waliofundishwa na professor mbona hawamuinui professor wao siku akifa kama Ruge alivyowahangaisha hata viongozi wote wakuu wa nchi alipokufa? Hivi iko haja professor atafute part time hata baada ya kustaafu rasmi? Badala ya kuajiri yeye anaajiriwa uzeeni kuwazibia fursa vijana. Yaani professor kashindwa kutengeneza mtu wa kumuachia kazi yake baada ya yeye kustaafu.
Wote hamna kitu ni wachumia tumbo.Kama ,yule kalamagamba, is holible proffesor,, na yule profesa mwenye uprofesa wenye itikadi ya chama,Burnes bana
Sent using Jamii Forums mobile app
Tena hawa maprofesa ni vigeugeu kuzidi hata wanasiasa sasa wataisaidiaje jamii wakati wenyewe ni maprofesa zeroOna kama prof. Lihumba kaandika mwenyewe barua ya kujiuzuru na kisha akaikana kuwa haitambui. Maamuzi kama haya mtu kama Ruge asingeweza kufanya hivyo.