Yaan pamoja na uwezo mkubwa wakusaidia jamii hawakufanya hivyo, hawana msaada, ndo mana wanafananishwa na wanakijiji,,, maprof wa kibongo baadhi yao ni vapour tuHivi maprofessor wamewakosea nini watanzania. Uprofesa ni cheo tu kule chuoni yaliyobaki ni kujiongeza kutegemea na mazingira. Mnategemea makubwa sana toka kwao lakini ni wachache wajuao ni mazingira gani wanafanyia kazi. Kwani kuzikwa kama mwanakijiji wa kawaida kuna tatizo gani?
Sent using Jamii Forums mobile app