Msibani imesemwa Hayati Lowassa alikuwemo JWTZ hadi Ukapteni na akashiriki vita vya Uganda. 2015 mzee Makamba alisema Lowassa hakwenda jeshini

Yanatusaodoa nini haya brother?
NB
Kwa heshima na taadhima bila makasiriko wala chuki
Pamoja sana mkuu.

Nimetafakari sana hili jambo lakini nimeona upo ulazima wa kuiweka sawa historia ya viongozi wetu pale penye uwezekano huo.

Kizuri ni kwamba nyenzo na vigezo vyote vipo "available".

Haya yasaidia kuelewa kwamba jambo la kusambaza sumu ya uongo tena mbele ya umati wa watu si jambo jema hata kidogo.

Na mara nyingi Mungu hutoa mshahara wake (wa dhambi ya uongo) hapahapa duniani.
 
Mkuu taratibu, je waweza kurekebisha hii sentensi yako?

Ni kweli haya masuala yaudhi sana lakini tutumie busara kidogo katika kuandika maoni na tuzingatie kanuni za JF.
hao wazee hawastahili heshima yoyote hapa nchini. nasisitiza ni mshenzi. liwalo na liwe!
 
Makamba ni mtu muongo na mzandiki ndiyo maana Magufuli alimdaka akiwa anamsimanga na wenzake. Huyo mzee hafai kabisa na wala hapaswi kuaminiwa kwa kile anachoongea
 
Suala la Mzee Lowassa kuingia jeshini hadi kufikia ngazi ya Kepteni lipo wazi.
 
Tumeona picha ya JK na Kinana wakiwa wamevaa kijeshi ila kama kuna ya Lowassa pia naomba watoto watuwekee pia ili tuwekane sawa au sio
Kumbukumbu lazima zipo
 
Ni katika maelezo yake ambayo yamo katika video ya Youtube, mzee Yusuf Makamba (kuanzia dakika ya 15) alidai kuwa marehemu Edward Lowasa alikuwa mwongo na alidanganya kwa kusema kwamba alikwenda jeshini na alipigana vita vya Uganda.

Watanzania kwa ujinga wao si wameamua kuwakabidhi nchi viongozi wajinga wajinga...

Acha washikwe masikio tu...
 
Kwamba babu wa babu yao aliipigania Tanzania huko Uganda. Lowasa pia alipigana huko. Hiyo ni historia.
Ukishawaambia hivyo ndiyo inawasaidia nini? peleka watoto shule wakapate ujuzi, watoto wa Lowasa pamoja na wajuu wana uhakika wa kula miaka mia 3 ijayo. Achana na historia ni mambo ya kijinga sn, vita ya maji maji wewe inakusaidia nini?
 
Umeandika vizuri sana.
 
Ukishawaambia hivyo ndiyo inawasaidia nini? peleka watoto shule wakapate ujuzi, watoto wa Lowasa pamoja na wajuu wana uhakika wa kula miaka mia 3 ijayo. Achana na historia ni mambo ya kijinga sn, vita ya maji maji wewe inakusaidia nini?
Mbona umeibuka kuwa mtetezi wa uongo?

Mimi niliishajijenga kitambo mkuu, tena kwa kudunduliza na elimu ya maana.

Tena hadi vitukuu hawana shida miaka 10 ijayo.
 
Mbona umeibuka kuwa mtetezi wa uongo?

Mimi niliishajijenga kitambo mkuu, tena kwa kudunduliza na elimu ya maana.

Tena hadi vitukuu hawana shida miaka 10 ijayo.
Miaka 10 ni michache sn, angalia miaka 100 ijayo, ukifa isaidie ukoo wako, historia ni ujinga tupu hakuna faida yoyote
 
ALISHIRIKI VITANI lakini kwa majukumu ambayo hayakuhusisha battle field ….utaratibu wa vita rais akishasaini operesheni ya vita wote mlioagizwa kuwemo mnakuwa mko vitani ……sasa wengine wanaweza ikawa jukumu Lao lilikuwa kuhamasisha vijana kujiandikisha na kuwaandaaa kwenda vitani , wengine wana jukumu la kutafuta resources , wengine kufanya diplomasia ya vita kwa kutafuta kuungwa mkono etc ….
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…