Msichana aliye tayari kuolewa anahitajika

Msichana aliye tayari kuolewa anahitajika

Leo sichanganyi comments na wajinga cjui nikakomenti wapi [emoji850][emoji850][emoji850]

kama ulipokea usisite kutoa tena
 
Nimepata pm 8, tano kati ya hizo zimeniuliza kama nina hela.
Mbili zinauliza gari na moja imeuliza kazi.

Hivi kwenye thread yangu nimetangaza udereva ama nimetangaza nafasi ya kazi, au nimetangaza kuwa nataka kumfadhili mtu?

Hivi wanawake wa miaka hii nani aliye waroga?
 
Back
Top Bottom