Demiss kwani una biashara ya kuuza mafuta?
Nitakuunganisha na mmiliki wa kiwanda cha magari cha toyota, au na gari unachagua aina?
sasa ukajibu nini?Nimepata pm 8, tano kati ya hizo zimeniuliza kama nina hela.
Mbili zinauliza gari na moja imeuliza kazi.
Hivi kwenye thread yangu nimetangaza udereva ama nimetangaza nafasi ya kazi, au nimetangaza kuwa nataka kumfadhili mtu?
Hivi wanawake wa miaka hii nani aliye waroga?
itabidi jarani maana roho isije kukutoka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sent using Jamii Forums mobile app
Waliouliza gari nimewajibu wakaolewe na kiwanda cha Toyota, wale waliouliza fedha nimewaambia wakaolewe na ATM na wale wa kazi nimewajibu waende ILOsasa ukajibu nini?