Kwa nini mliachana? Huyu unayemtafuta si utamuacha tena?Kichwa cha thread kinajieleza ,Mimi ni kijana wa miaka 28 nahitaji msichana mwenye umri sawa ama chini na umri wangu tuanzishe mahusiano.Niko single kwa miezi mitatu baada ya kuachana na mpenzi wangu wa mda mrefu.Sijazoea kuwa mpweke nahitaji company .
Taratibu wakija hakikisha mnaenda kupima afya zenuKichwa cha thread kinajieleza ,Mimi ni kijana wa miaka 28 nahitaji msichana mwenye umri sawa ama chini na umri wangu tuanzishe mahusiano.Niko single kwa miezi mitatu baada ya kuachana na mpenzi wangu wa mda mrefu.Sijazoea kuwa mpweke nahitaji company .
Maswali mengi ww mwanamke? Kama sio huyo bwana hajasema anatafuta watu kutoka mombosa kaa kimya mwanamke ataenda PM atauliza maswali yakeKwa nini mliachana? Huyu unayemtafuta si utamuacha tena?
Unachokikataza ndicho kilichosababisha waachane, ushauri ni muhimu katika jambo hili.Maswali mengi ww mwanamke? Kama sio huyo bwana hajasema anatafuta watu kutoka mombosa kaa kimya mwanamke ataenda PM atauliza maswali yake
Kukalili ndio nini?Acha kukalili mkuu