Inog01
JF-Expert Member
- Mar 26, 2015
- 1,291
- 1,961
Kichwa cha thread kinajieleza ,Mimi ni kijana wa miaka 28 nahitaji msichana mwenye umri sawa ama chini na umri wangu tuanzishe mahusiano.Niko single kwa miezi mitatu baada ya kuachana na mpenzi wangu wa mda mrefu.Sijazoea kuwa mpweke nahitaji company .