Msichana anayehitaji mpenzi aje PM Tuyajenge.

Inog01

JF-Expert Member
Joined
Mar 26, 2015
Posts
1,291
Reaction score
1,961
Kichwa cha thread kinajieleza ,Mimi ni kijana wa miaka 28 nahitaji msichana mwenye umri sawa ama chini na umri wangu tuanzishe mahusiano.Niko single kwa miezi mitatu baada ya kuachana na mpenzi wangu wa mda mrefu.Sijazoea kuwa mpweke nahitaji company .
 
Kwa nini mliachana? Huyu unayemtafuta si utamuacha tena?
 
Kichwa cha thread kinajieleza ,Mimi ni kijana wa miaka 28 nahitaji msichana mwenye umri sawa ama chini na umri wangu tuanzishe mahusiano.Niko single kwa miezi mitatu baada ya kuachana na mpenzi wangu wa mda mrefu.Sijazoea kuwa mpweke nahitaji company .
Taratibu wakija hakikisha mnaenda kupima afya zenu
 
Maswali mengi ww mwanamke? Kama sio huyo bwana hajasema anatafuta watu kutoka mombosa kaa kimya mwanamke ataenda PM atauliza maswali yake
Unachokikataza ndicho kilichosababisha waachane, ushauri ni muhimu katika jambo hili.
 
Back
Top Bottom