Msichana anichekea, aniuliza uelekeo na kupotea ghafla

nipe namba zake za simu ili kesho nije kukuambia ni nani huyo.
 
Mara akanishika bega,nilipogeuka akacheka akatasamu.Nikamuliza unasemaje,akasema hakuna kitu,


Possibly alijua unahitaji umeme akuunganishe kwenye national grid
 
Kwa jinsi ujumbe wako ulivyoishia, hii ni ndoto ya usiku wa manane.
 
Kama hakuwa na muonekano wa kiarabu basi wewe mzembe ungepita nae tu, katika stori zote za majini yanayowatokea watu sijawahi jini mweusi au mzumgu. Sijaulumu kwa kupoteza bahati.
 
nahic mtoa mada ameenda kununua sabuni ya revola amalize kwanza kimoja ndo aendelee kumalizia huu uzi
 
Kiu tu kunywa maji alafu acha kutembea umbali mrefu panda ata daladala mkuu.
 
Nahic alinipenda Mkuu,da nimepoteza bahati aisee,unajua niliwahi nikamfuata nyumanyuma sikumuona tena
Kuwa salama si hoja. Hoja ni, Je, alitumwa kwako au aliku mind tu
 
Uzi tayar....Nyie wachache ndo mnawaponza wenzenu Wa dar huko....
 
mada imeishia juujuu kama umeme wa tanesco
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…