F35-Bomber
JF-Expert Member
- Mar 18, 2017
- 1,345
- 1,069
nipe namba zake za simu ili kesho nije kukuambia ni nani huyo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara akanishika bega,nilipogeuka akacheka akatasamu.Nikamuliza unasemaje,akasema hakuna kitu,
Mkuu....
Umekutana/umependwa na jini...tehteehh [emoji12] View attachment 1047759
Kwa jinsi ujumbe wako ulivyoishia, hii ni ndoto ya usiku wa manane.Wadau kwema humu,Jana Jumamos, majira ya saa 12 jioni nikiwa nimevuka kutoka Kigamboni kumsalimia Baba wa rafiki yangu ambaye Ni mgonjwa.Nikasimama mahala kununua maji ya kunywa,nikiwa na nunua maji kugeuka pembeni yangu nikakuta msichana mzuri mweusi mwenye umbo la kati wa mri kama miaka 25 hivi amesimama pembeni yangu na nilipogeuka tuligongana macho, akaanza kutabasamu tu,na nikampuuza nikaendelea kuzunmgza na muuza maji,Mara akanishika bega,nilipogeuka akacheka akatasamu.Nikamuliza unasemaje,akasema hakuna kitu,basi tu.badae akaniambia kituo Cha mwendokas kipo wapi? Nikamuonesha na hakuelekea huko tena.sasa alipoondoka nikamuuliza muuza maji unamfaha
[emoji134] [emoji134]Huyu anafanana na Mwenyekiti wa chama cha siasa
nahic mtoa mada ameenda kununua sabuni ya revola amalize kwanza kimoja ndo aendelee kumalizia huu uziWadau kwema humu,Jana Jumamos, majira ya saa 12 jioni nikiwa nimevuka kutoka Kigamboni kumsalimia Baba wa rafiki yangu ambaye Ni mgonjwa.Nikasimama mahala kununua maji ya kunywa,nikiwa na nunua maji kugeuka pembeni yangu nikakuta msichana mzuri mweusi mwenye umbo la kati wa mri kama miaka 25 hivi amesimama pembeni yangu na nilipogeuka tuligongana macho, akaanza kutabasamu tu,na nikampuuza nikaendelea kuzunmgza na muuza maji,Mara akanishika bega,nilipogeuka akacheka akatasamu.Nikamuliza unasemaje,akasema hakuna kitu,basi tu.badae akaniambia kituo Cha mwendokas kipo wapi? Nikamuonesha na hakuelekea huko tena.sasa alipoondoka nikamuuliza muuza maji unamfaha