Msichana anichekea, aniuliza uelekeo na kupotea ghafla

nipe namba zake za simu ili kesho nije kukuambia ni nani huyo.
 
Mara akanishika bega,nilipogeuka akacheka akatasamu.Nikamuliza unasemaje,akasema hakuna kitu,

Possibly alijua unahitaji umeme akuunganishe kwenye national grid
 
Wadau kwema humu,Jana Jumamos, majira ya saa 12 jioni nikiwa nimevuka kutoka Kigamboni kumsalimia Baba wa rafiki yangu ambaye Ni mgonjwa.Nikasimama mahala kununua maji ya kunywa,nikiwa na nunua maji kugeuka pembeni yangu nikakuta msichana mzuri mweusi mwenye umbo la kati wa mri kama miaka 25 hivi amesimama pembeni yangu na nilipogeuka tuligongana macho, akaanza kutabasamu tu,na nikampuuza nikaendelea kuzunmgza na muuza maji,Mara akanishika bega,nilipogeuka akacheka akatasamu.Nikamuliza unasemaje,akasema hakuna kitu,basi tu.badae akaniambia kituo Cha mwendokas kipo wapi? Nikamuonesha na hakuelekea huko tena.sasa alipoondoka nikamuuliza muuza maji unamfaha
Kwa jinsi ujumbe wako ulivyoishia, hii ni ndoto ya usiku wa manane.
 
Kama hakuwa na muonekano wa kiarabu basi wewe mzembe ungepita nae tu, katika stori zote za majini yanayowatokea watu sijawahi jini mweusi au mzumgu. Sijaulumu kwa kupoteza bahati.
 
Wadau kwema humu,Jana Jumamos, majira ya saa 12 jioni nikiwa nimevuka kutoka Kigamboni kumsalimia Baba wa rafiki yangu ambaye Ni mgonjwa.Nikasimama mahala kununua maji ya kunywa,nikiwa na nunua maji kugeuka pembeni yangu nikakuta msichana mzuri mweusi mwenye umbo la kati wa mri kama miaka 25 hivi amesimama pembeni yangu na nilipogeuka tuligongana macho, akaanza kutabasamu tu,na nikampuuza nikaendelea kuzunmgza na muuza maji,Mara akanishika bega,nilipogeuka akacheka akatasamu.Nikamuliza unasemaje,akasema hakuna kitu,basi tu.badae akaniambia kituo Cha mwendokas kipo wapi? Nikamuonesha na hakuelekea huko tena.sasa alipoondoka nikamuuliza muuza maji unamfaha
nahic mtoa mada ameenda kununua sabuni ya revola amalize kwanza kimoja ndo aendelee kumalizia huu uzi
 
Kiu tu kunywa maji alafu acha kutembea umbali mrefu panda ata daladala mkuu.
 
Nahic alinipenda Mkuu,da nimepoteza bahati aisee,unajua niliwahi nikamfuata nyumanyuma sikumuona tena
Kuwa salama si hoja. Hoja ni, Je, alitumwa kwako au aliku mind tu
 
Uzi tayar....Nyie wachache ndo mnawaponza wenzenu Wa dar huko....
 
Back
Top Bottom