Msichana huyu Single Mother ana nyota kali sana. Juzi nimekutana naye jana nimeingiza sales Milioni 27 dukani kwangu Kariakoo

Awe single mother au double mother hili swala la mademu kuwa na ngekewa au gundu nilidhani ni dhana potofu tu nimekuja kuprove ni kweli kabisa, kuna mwanamke ukimdinya what follows hela itakukimbia ajabuuu kama unayo utaibiwa au itapotea au utapata tu hasara za ajabu utagombana na watu bila sababu, biashara au kipato kitashuka, wkt mwingine ni versa versa, hii kitu waswahili wanaita gundu vs kismati/ngekewa ipo na siyo fiction. Utata unakuja mwenye ngekewa shepu polygon sura ngumu na mwenye gundu shepu matata sura ya mvutooooπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Kumbe una kumbuka eeh... Na kuhesabu finyangoπŸ˜‚
We kilaza take it from me. Ulaji wa nyama.nyekundu sio salama hasa kiafya haswa kwa mtoto wa kiume. Shirika la fya duniani WHO limeweka kiwango maalumu cha kiasi cha nyama nyekundu " white meat intake" na kiwango maalumu cha nyama nyeupe " white meat " intake ambacho watoto wa kiume from 2 to 15 wanatakiwa ku consume per month.

Yes of course as a concerned father I must make sure watoto wangu wa kiume hawazidishi matumizi ya kiwango cha matumizi ya nyama kwa faida ya afya yao.

Ningekuona Una ukili kidogo Kama ungeniambia hata hicho kiasi kidogo cha nyama hawatakiwi kutumia kabisa .. make them completely vegetarians.

Think out of the box

Endelea kuwalisha watoto wako Fanta na kuku broiler kilo moja.
 
I put 100 percent in every single letter that constitute Ur sentence.

# power talk
 
Vipi yule mtoto wa jirani?..leo asubuhi hajaja kuwanyanganya watoto wako mikate?
Aisee watu mna kumbukumbu ata mimi nimekumbukaπŸ˜‚πŸ˜… mtoto wa jirani anataka kula chakula yeye kwanza wenzake wakila analiaaπŸ˜…
 
Mkuu naona utaacha tabia ya kuhesabu finyango za nyama plus mikate, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pesa umeshapata sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mkuu naona utaacha tabia ya kuhesabu finyango za nyama plus mikate, [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Pesa umeshapata sasa [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Tatizo sio hela Tatizo NI afya. Mtoto wa kiume atakiwi kula kiasi kikubwa cha nyama nyekundu. Hiyo hela ni ya kawaida Sana kwangu. Just kwenye duka langu Hilo sijawahi kufikisha sales hizo in a single day.
 


hv hz mambo zipogo kweli asee?? mana huwa sielew elew
 
Hiv hao single mother si ni wanaume nyie mnawapa mimba na kuwakimbia?? Yaan ukute ushazaa nje na unaendelea afu unakuja hapa kuponda single mother.
Na bado mnaendelea kuwatengeneza kila siku as mnazaa nje ya ndoa kila kukicha na kukimbia majukumu.
Karma is real wekeni akiba ya maneno
 
Siku ukimuoa na mambo yako yote yaka enda ndivyo sivyo.Usisite kuleta mrejesho.
NB:usisahau kumfundisha namna ya kupambana na yule mtoto wa jirani anaekula nyama na mikate ya watoto wako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…