Msichana huyu Single Mother ana nyota kali sana. Juzi nimekutana naye jana nimeingiza sales Milioni 27 dukani kwangu Kariakoo

Duh,sa hiyo m27 imeingizwaje humu ktk utopolo uliouachia mkuu?
 
File lote hili kisa singomaza,kma hesabu imetoa 27m huyo ndio anakufaa,mfungie dukani kesho lazima uuze 50m
 
Aiseee maajabu hayatakuja kwisha ndani ya dunia hii

Yaani mtu amezalishwa, ametelekezwa kwa wazazi wake, amejitongozesha mwenyewe na bado anakuja na standards kibao

Mara sihitaji kutumiwa na kuachwa, eti anahitaji ndoa
Ahahah wewe Single mother ungekuwa na standars hizi Mpaka leo hii ungekuwa umeolewa kwa sasa umechelewa

Wewe jiachie watu tujinyofolee iyo mbususu na hakuna ndoa hata zile isue za baby baby wewe hudeserve nakuambia
 
Huu ni unyanyasaji.
 
Uzuri wa haya mambo huwa mnaongea mkiwa watoto na ma k-vant yenu kichwani ila Mungu huwa anawaadhibu moja kwa moja kwa dada zenu na watoto wenu wa Kike mkishakuwa wakubwa mkapata watoto! Ila mlivyo mburula huwa mnasahau kabisa.

Unadhani single mother wanapendaga kuzalishwa na kuachwa? Kwanini ulaumu hawa wadada tu usiwalaumu na punguani za kuime zinazojua kuchovya na kukimbia?
 
Mimi huyu nimwamini single mother labda nirogwe
Uwe na upendo mkuu, Usingo Mother husababishwa na sisi wanaume.

Pia hata hawa tulio nao kwenye ndoa huwa wanagawa papuchi kama kawaida na hata kupewa ujauzito na michepuko wakiwa ndani ya ndoa na sisi wanaume tunalea watoto wasiotokana na sisi bila kujua.

Hivyo pia wapo singo Mother wanaokuja kutulia, inategemea tu na staili iliyopelekea kuachana na huyo mpenzi aliezaa nae.
 

Wewe fala sana sio bure. Mods wanakuja kufuta huu uzi wako…! Muda sio mrefu subiri [emoji23][emoji28][emoji28]
 
Hivi ukiwa single mama huitaji standard?.hivi hizi theory.. mnazitoa wapi?...mbona watu wanabeba hao single mumy with alot of love and care?...anyway kila mtu na afanyee kimpendezacho.
 
Ukiona huwezi kumeet standards zake chukua hamsini zako,kuwa single maza sio kigezo cha kuwa kama jalala kila mtu mwenye akili timamu, regadless amepitia situation gani lazima ajithamini by the way wewe ni mpumbavu,be a man
N.B
Nimeongea kwa niaba ya wanawake wenzangu sio tu single maza ni wanawake kwa ujumla, yaani wanaume mnajikutaga mna kauspecial flani hivi,mnajitia nyie ndo mko selective sana,kwa taarifa yenu hata sie huwa hatuzoi tu
 
Single mother mnataabu kweli

Standards za nini wakati huna cha kupoteza zaidi uonewe huruma?
 
we dogo mbususu kweli
uzi ukifutwa mi naathirika na nini?
jikite kutafuta pesa ukizipata utaona unahitaji mwanamke wa hadhi gani
Wewe fala sana sio bure. Mods wanakuja kufuta huu uzi wako…! Muda sio mrefu subiri [emoji23][emoji28][emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…