Msichana huyu Single Mother ana nyota kali sana. Juzi nimekutana naye jana nimeingiza sales Milioni 27 dukani kwangu Kariakoo

Hii inshu huwa ni TATA sana.

Aina hii ya mahusiano huwa inaleta mkanganyiko sana, hasa mnapoanza kuhisiana kutoaminiana.

Ni mapenzi yanayohitaji umakini mno kwa wahusika na kujitambua. Lasivyo mtaishia kudhalilishana.
 
Hapa napokaa kunajamaa kaoa single mother kwakweli anapata shida maana mkewe anamegwa sana na masela na baba mtoto pia aka badu.single mother ni janga la kitaifa

Hii vita dhidi ya single mother haitakuja kuisha maana sisi wanaume ndio tunasababisha uwepo wa single mothers.! Lakini suala la kuchapiwa, hata walioko kwenye ndoa mbona wanaliwa kama peremende yaani. Waoaji oeni, ila tusiwanange sasa hwa watu [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mungu akusamehe sana, huenda unachokiandika hapa hukijui.

Msamehe kijana wetu huyu, ndio amemaliza form six na jeshini hajaenda kwahiyo ni mwendo wa kutughasi tu si wakubwa zake. Msamehe kwakweli halijui alisemalo.

Yeye anahisi mtu single mother basi awe cheap yaani, watu wajipie tu yaani. Ameshajua alipokosea hivyo hataki akosee tena. Ipo siku atakuja kuomba samahani siku dada ake au binti akiwa single mother. Hii kitu sio ya kuombea asee maana si kitu ambacho watu walipenda kuwa hivyo.

Japo wapo wachache single mothers wanatabia za Ajabu ambazo zinafanya vijana wa kiume wawaone wote wapo cheap kiasi hicho. Samahani sana Mkuu, kwa niaba yake maana inaonekana uvulana ndio umemkolea.
 
Shida unaamini mafanikio yako yanshababishwa na mtu na sio wewe.
 
Sawa tumetambua uongozi kuwa una duka kubwa kariakoo! Hongera sana wanakuja PM huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…