Msichana mdogo kutoka "State of Tiarat" Ya Algeria huvutia watu kupitia mitandao ya kijamii

Msichana mdogo kutoka "State of Tiarat" Ya Algeria huvutia watu kupitia mitandao ya kijamii

Abu Ubaidah Commando

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2016
Posts
7,591
Reaction score
6,946
Screenshot_20220731-194714_Instagram.jpg

Nimetranslate kama ilivyo, kama itakua wrong mtanisahihisha.

Msichana mdogo kutoka "State of Tiarat" Ya Algeria huvutia watu kupitia mitandao ya kijamii, kwa sababu ya uzuri wa sifa zake za kipekee, macho yanayong'aa na nywele zake ndefu nyeupe nyeupe, kana kwamba ni mhusika wa hadithi za Cinderella, Mungu ambariki, Mungu amlinde ❤🇩🇿.

MaachaAllah kizuri mnoo.
 
Back
Top Bottom